Mabasi Mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yatua Dar

Tunaipongeza serikali kwa hilo!
Kama usingekuwa Ufisadi,Rushwa,Hasara na Ufujaji wa fedha za Umma kama ulivyoripotiwa na CAG serikali ingefanya makubwa.
Lakini hata hivyo yale Yaliyomsukuma Polepole ajiuzulu na
No reform No Election bado yako mezani wananchi hawajasahau!
 
Kwahiyo sisi YANGA wajingaaaa KUCHAGUA kijani
Kijani heshimaa apopote palee
Mbona unauliza jibu dogo, kumbuka Mungu wenu Manara alishawahi kunukuliwa akiwasema wana Yanga kuwa wote ni wajinga mwenye akili pale Yanga ni baba yake tu na Kikwete.
 
Kuna mawili:

Rangi imechaguliwa na kupelekwa Production line.

Au pili, mabasi yamebadilishwa rangi iwe ya kijani baada ya kutoka production line.

Kwa manufaa ya nani?

Tumuulize Lucas Mwashambwa na timu yake.
subscribed
 
Haya mabasi yamenunuliwa na MOFAT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…