Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
U hali gani Mtanzania!
Napenda kutoa wazo kuhusu huduma ya Usafiri hasa Mabasi yaendayo Mikoani na Daladala zinazotoa huduma ndani ya Mikoa katika usafirishaji.
1. Napendekeza wafanyabiashara wawekwe makundi 3 (ziundwe kampuni 3 ) tu ambazo zitatoa huduma hii ya biashara hapa nchini ili kuchochea ukuaji wa hii sekta. Hii itapunguza wingi wa Magari au Vyombo vya moto vibovu na vyenye kuhatarisha usalama wa abiria.
2. Tunataka kodi nzuri na endelevu. Hii ndio njia safi ya kupata hiyo kodi.
3. Kwa mfanyabiashara yoyote atakayewiwa kufanya biashara ya Usafiri wa Umma basi sharti achague miongoni mwa hizo kampuni apige mzigo.
4. Hizi kampuni zote tatu zisajiriwe kwenye soko la Hisa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange).
5. Tutapunguza uhuni wa utakatishaji fedha, tutajua idadi ya vyombo vya moto nchini kwa idadi sahihi na kwausawa.
Karibu.