Ilishawahi kunitoke pia japo halikuwa katika hili basi, ilikuwa basi la kampuni nyingine, nilihisi nimepanda Daladala zile zilizojaa, joto kubanana hakuna AC ilikuwa tabu tupu.
Kwa sasa mchezo huo ni kama unafanywa na mabasi yanayosafiri usiku! Hiyo hali nimeiona wakati nasafiri kwenda Arusha kwa basi la LIM toka Dar to Arusha mwezi uliopita.
Basi lilijaza abiria baadhi yao wakiwa wa vituo vya ambao hawakuwa na siti.