Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Kama dar express ni mbovu............................VIPI KUHUSU MBAZI EXPRESS NA HAI COACH?
 
Tena aanze na yule binti yake mwenye nyodo. Halafu aache ajira za kindugu maana wafanyakazi wake wana viburi sana.
Siyo mbaya pia akinunua mabasi mapya
 
Jamani mie naulizia kampuni ya usafirisha mizigo nje ya nchi.
 
Hakuna mfuatiliaji,toka yule mother kufariki,then akafuata Ben(kihondi)....kampuni imeyumba itachukua muda kusimama tena.
 

Nan anahujumu kampun mbov huduma mbov hata service mbovu,jumatano tu ndugu yangu anatoka karatu to dar gari kufika moshi limeharibika,kubadilisha likaletwa jingine kufika uchira mafuta hakuna kumbuka hapo ni saa sita,kali yao kufuata mafuta na dumu masaa mawili na kupelekea gari kuondoka saa tisa kwenda dar, nan anahujum huduma yao mbovu hii
 
Tena aanze na yule binti yake mwenye nyodo. Halafu aache ajira za kindugu maana wafanyakazi wake wana viburi sana.
Siyo mbaya pia akinunua mabasi mapya
Mpinga shetani nimekusoma.Nikweli mambo hayoko sawa kwajinsi inavyoonekana kwanje.Ila niswala lamuda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…