Husika na mada hapo juu wanaJamiiForums. Huu mwezi nimesifiri na hizi basi ABC upper class ni Yutong na kisbo ina chata ya Higer nimeona utofauti Yutong hazina utulivu barabarani.
Barabara zetu zenye mashimo na vilaka ambavyo haviwekwi kwa ulinganifu hizi basi zinateseka yaani unakuta gari linarukaruka mpaka abiria mnashtuka.
Gari hizohizo zikiwa kwenye barabara mpya unakuta inatembea vizuri bila mitikisiko ya kutisha. Yutong ikipita ikipita kwenye mashimo dereva anavyorukaruka na hicho kiti chake cha mneso duh Mnaohusika kuweka vilaka barabarani Tanroads jitahidini viwe katika hali ya kulingana na rami ya zamani.