Mabasi ya mikoani hususan yanayosafiri usiku yana changamoto ya ubora

Vitalismathew

New Member
Joined
Sep 29, 2023
Posts
3
Reaction score
0
Kuna changamoto ya mabus ya mikoani hususan yanayosafiri usiku.. nimewahi kupakia mabus kama Kitumbo(Dodoma - Dar) na Kimotco (Dodoma - Arusha) kwanza kabisa haya mabus ni kama daladala maana yanasimama ovyo na kpakia watu wengi had wengine wanasimama. Mbaya zaid haya mabus huwa hawafanyi matengenezo ya magari yao.

Nimewah kupakia Kitumbo kuelekea Dar es salaam na Kimotco kuelekea Arusha. Mabasi yanazimazima ovyo tukiwa njiani.

Yote hayo ni kukosa ukaguzi na kutofanya matengenezo ya mara kwa mara.
 
Mkuu huko ni mkoani we pita tu uendelee na safari yako waachie mji wao.
Hayo mambo yako stendi zote za mkoa na wilaya.
 
Sasa umepata Kitumbo na Kimotco halafu unahitimisha kwamba ni mabasi yote?? Tena wala hujataja kampuni kubwa kama Kilimanjaro, BM, ABOOD, SHABIBY nk?
 
We jamaa unapenda K sana, mara Kitumbo mara Kimotco
 
Usipande mikweche bro, tafuta basi zenye akili Shabiby,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…