kubwa_Lao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 934 Reaction score 1,185 Jan 16, 2016 #1 Habari!! Hivi ni kufungu gani cha sheria ambacho kinatumiwa na sumatra kupanga nauli elekezi kwa daladala za dar lkn unashindwa kuwapangia nauli hawa wa mabasi ya #MwendoKasi?
Habari!! Hivi ni kufungu gani cha sheria ambacho kinatumiwa na sumatra kupanga nauli elekezi kwa daladala za dar lkn unashindwa kuwapangia nauli hawa wa mabasi ya #MwendoKasi?