Mabasi ya zamani ya Japan yana comfortability kuliko mabasi ya kisasa ya India

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
 
Huu uzi si nilionaga siku nyingi hapa? Umeuripost tena bro???
 
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
Ni kweli I see.
Ukipabda basi Fuso ( hizi daladala ama za mkoa) ziko comfortable sana kuliko gari za Mhindi. Nami sijajua sababu ni nini.
 
Back
Top Bottom