A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na tabia ya madereva wa mabasi ya usiku kwenda mwendokasi licha ya abiria kupaza sauti, mabasi yamekuwa yakienda kwa mwendo Kasi Hadi 120km/h speed kitu ambacho ni hatari.
Mathalani basi la kampuni ya Cuper Champion linalofanya safari za Moshi - Dodoma limekuwa linaendeshwa kwa kasi ya juu hadi speed ya 120km/h licha ya dereva kuambiwa na abiria.
Tunaomba mamlaka kuweka namna Bora ya kudhibiti speed nyakati za usiku mda ambao traffic police hawapo barabarani