Mabati gani mazuri ya kuezekea nyumba?

Mabati gani mazuri ya kuezekea nyumba?

mhando92

New Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
4
Reaction score
4
Naombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali 🙏🙏🙏
 
Alaf bado wanafanya vizuri sana sokoni
 
Nimeijengea Nyumba 2 tofauti,iko vizuri.Pata Gauge 28 au ukishindwa pata Gauge 30.Jitahidi uipate Alaf kwenye au Wakala rasmi maana kuna uchakachuaji Sana mitaani.
 
Asante sana ndugu yangu ngoja nifanye hivyo
 
Naombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali 🙏🙏🙏
ALAF
narudia ALAF. Ukiwa na swali niulize.
 
Back
Top Bottom