Alaf bado wanafanya vizuri sana sokoniNaombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali πππ
Asante sana mkuuAlaf bado wanafanya vizuri sana sokoni
Asante sana ndugu yangu ngoja nifanye hivyoNimeijengea Nyumba 2 tofauti,iko vizuri.Pata Gauge 28 au ukishindwa pata Gauge 30.Jitahidi uipate Alaf kwenye au Wakala rasmi maana kuna uchakachuaji Sana mitaani.
ALAFNaombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali πππ
Naomba mawasiliano ya kiwanda cha ALAFALAF
narudia ALAF. Ukiwa na swali niulize.
Mzee google ipo kwa ajili ya kazi hiyoNaomba mawasiliano ya kiwanda cha ALAF