Mabati rangi nzuri kutoka nje ya nchi gauge 28 yanauzwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nina mabati 31 yaliyobakia baada ya kuezeka nyumba yangu. Bei ya dukani ni 31,000/= kwa bti moa. Lakini mimi nauza Tshs. 26,000/= kba mojaa maongezi yapo. Ni rangi ya mchanganyiko kati ya dark kijani na dark blue. ipo kati ya rangi hizo. Ni Futi 10 ambapo wanasema ni sawa na Meter 3. Karibu uyaone. Wasiliana nami kwa namba 0713 68 96 65
au unaweza kutuma PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…