Mabati ya m'south Mbeya mjini

Mabati ya m'south Mbeya mjini

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
639
Reaction score
323
Habari wananzengo.
Nipo kwenye hatua ya kuweka paa banda langu hapa mbeya mjini.
Nimefanya research ndogo ya hizo product kutoka viwanda vya kukunja mabati hapa mjini mbeya. Ila bado nipo njia panda.

Kuna viwanda vifuatavyo
1. DRAGON MABATI
2. JIA FU LTD
3. MBEYA ROOFING
4. ALAF

Tukianza na dragon- bati zao gage 30 ni nyepesi zinakunjika kirahisi, zinafanana na za jia fu ltd. Wanasema wanaongoza kwa bati bora zisizo na chuma nyingi kama kwingineko.
Jia fu migongo ya bati zao zina depth kubwa hivyo hupunguza width za bati zao pia kwa gage 30 ni nyepesi sana kama dragon

Mbeya roofing wanajifanya wako vizuri kama ALAF, wanasema bati zao hazina chuma nyingi kama kwingineko. Bati zao ni ngumu kukunjika. Hata kwa gage 30 sio nyepesi sana kama dragon na jia fu.

ALAF hawauzi gage 30, ila hiyo gage 28 yao bei ya kuingizana kaburini... Sijaenda huko ila ntaenda kuchek nao nione bati zao zikoje

Natamani niende na sumaku nione magnetic strengths zikoje kwa kila kampuni nijue sasa kiasi cha chuma kilichomo.

Mwenye ufahamu wa kina tafadhali msaada.
 
hongera mkuu!kipindi hiki cha mpito unafanya mambo mazito!hongera saaana mkuu!!!!!
 
mkuu ALAF afadhali.....kusimamisha mjengo kipindi hiki ni shughuli nzito
 
Habari wananzengo.
Nipo kwenye hatua ya kuweka paa banda langu hapa mbeya mjini.
Nimefanya research ndogo ya hizo product kutoka viwanda vya kukunja mabati hapa mjini mbeya. Ila bado nipo njia panda.

Kuna viwanda vifuatavyo
1. DRAGON MABATI
2. JIA FU LTD
3. MBEYA ROOFING
4. ALAF

Tukianza na dragon- bati zao gage 30 ni nyepesi zinakunjika kirahisi, zinafanana na za jia fu ltd. Wanasema wanaongoza kwa bati bora zisizo na chuma nyingi kama kwingineko.
Jia fu migongo ya bati zao zina depth kubwa hivyo hupunguza width za bati zao pia kwa gage 30 ni nyepesi sana kama dragon

Mbeya roofing wanajifanya wako vizuri kama ALAF, wanasema bati zao hazina chuma nyingi kama kwingineko. Bati zao ni ngumu kukunjika. Hata kwa gage 30 sio nyepesi sana kama dragon na jia fu.

ALAF hawauzi gage 30, ila hiyo gage 28 yao bei ya kuingizana kaburini... Sijaenda huko ila ntaenda kuchek nao nione bati zao zikoje

Natamani niende na sumaku nione magnetic strengths zikoje kwa kila kampuni nijue sasa kiasi cha chuma kilichomo.

Mwenye ufahamu wa kina tafadhali msaada.
Waone sun share
 
Back
Top Bottom