Mabati ya rangi/sunshare kwa price list ya kiwanda

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
226
Reaction score
83
Jmk Royal Services
Dealer wa vifaa vya ujenzi,yakiwemo mabati,tiles,wanakuletea
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)
Mabati ya mikunjo(Versatile)
Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi na meupe
Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated)
-Misumali ya bati kila rangi
-Kofia na valley
-Gauge 26, 28 na 30
-upana 110cm 107cm,98cm ,87cm
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja
-Warranty 15 years na 60 years
-Yamethibitishwa na tbs
-Ofisi zetu zipo mikocheni(mwai kibaki road),adjacent na mayfair plaza,
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tutagawana gharama za usafiri mpaka site kwako kwa nzia r-meter 200 kwa wateja wa Dar es salaam,nje ya dar es salaam tutagawana gharama za usafiri.
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Piga 0656-816616,0713-637508
0766004940,0753-637508
 
Attachments

  • image.jpeg
    62.7 KB · Views: 702
  • image.jpeg
    96.1 KB · Views: 610
  • image.jpeg
    113.2 KB · Views: 743
  • image.jpeg
    93.5 KB · Views: 600
  • image.jpeg
    97.4 KB · Views: 674
  • image.jpeg
    91.5 KB · Views: 570
  • image.jpeg
    160.7 KB · Views: 623
hilo la mwisho lenye rangi ya kijani..ni bei gani? natala nijengee banda
 
JMK ROYAL SERVICES
AGENT NO A002 WA SUNSHARE
ANAYEUZA BATI KWA PRICE LIST YA KIWANDA

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

-upana wa 107cm na 98cm

gauge28 ni 37,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 33,360/piece ya 3meter/10ft

.....,..................................................
It5-upana wa 87cm

gauge28 ni 28,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 25,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

........................................................

It4 upana wa 81cm

28gauge ni 26,304/piece ya urefu wa 3meter/10ft

30gauge ni 22,965/piece ya urefu wa 3meter/10

Mabati ya mikunjo(Versatile) ,(roma)
upana wa 110cm

gauge 28 ni 40,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 35,130/piece ya urefu wa 3meter/10ft

Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 90cm ya rangi

Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 26,100/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 22,800/piece ya urefu 3meter/10ft

........................................................
Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated)

ni 20,000/ piece

-Misumali ya bati kila rangi tzs 10,000/kg inakaa mia moja

........................................................
-Kofia na valley
28gauge 13,200/= za urefu wa 3meter
30gauge 12,000/= urefu wa 3meter

.....................,..................................
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, red,etc
-Warranty 15 years kwa it5,it4 na versatile na 60 years kwa naturalstone coated
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
[emoji625][emoji338][emoji337][emoji338] 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508
 
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Kofia na valley

1.kofia
Hizi hutumika kufunikia pale bati zinapokutana,inatumika kwenye angel ya paa moja inapoungana na jingine ili ikae vizuri,na pasivuje.hizi mara nyingi huuzwa kwa urefu wa 3meter au 2.7meter au 1.7meteter unapotajiwa bei hakikisha unajua ni za urefu gani,usije uziwa bei ya za 3meter ukapewa za 2.4,japo mafundi wengi wamezoea kuzitengeneza kwa kununua bati la corrugated na kujikunja japo kazitakuwa na shape nzuri saana kama za moja kwa moja zinazopita kwenye machine

2.valley
Hii iko kama kofia tofauti ni kwamba hiii hupigwa kwa ndani,ila kila kitu ni kama kofia,ila inageuzwa nje ndani

Kofia na valley zote zina machine zake pia zinauzwa kwa gauge kama bati,zipo za 28gauge na 30gauge,mteja anaweza chukua bati za 28guage na akachukua kofia na valley za 30gauge huwa sio mbaya,kadri atavyoona budget yake inamruhusu.

Call 0656-816616,0766-004940
 
Tunakutumia mkoa wowote ule

Karibuni sana pia kwa wa mikoa nje ya dar es salaam kuna discount inakusaidia kucover usafiri.

JMK ROYAL SERVICES
AGENT NO A002 WA SUNSHARE
ANAYEUZA BATI KWA PRICE LIST YA KIWANDA

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

-upana wa 107cm na 98cm

gauge28 ni 37,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 33,360/piece ya 3meter/10ft

.....,..................................................
It5-upana wa 87cm

gauge28 ni 28,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 25,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

........................................................

It4 upana wa 81cm

28gauge ni 26,304/piece ya urefu wa 3meter/10ft

30gauge ni 22,965/piece ya urefu wa 3meter/10

........................................................
Mabati ya mikunjo(Versatile) ,(roma)
upana wa 110cm

gauge 28 ni 40,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 35,130/piece ya urefu wa 3meter/10ft

........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 90cm ya rangi

gauge28 ni 28,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 25,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 26,100/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 22,800/piece ya urefu 3meter/10ft

........................................................
Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated)

ni 20,000/ piece

........................................................
-Misumali ya bati kila rangi tzs 10,000/kg inakaa mia moja
........................................................
-Kofia na valley
28gauge 13,200/= za urefu wa 3meter
30gauge 12,000/= urefu wa 3meter
.....................,..................................
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, red,etc
-Warranty 15 years kwa it5,it4 na versatile na 60 years kwa naturalstone coated
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
[emoji625][emoji338][emoji337][emoji338] 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Mungu akubariki

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app

Samahani ndugu yangu nimejibu kwa jazba kutokana na experience mbaya juu ya mabati hayo....

Labda pengine vijana walinipiga mchanga wa macho....

Uwe na wakati mwema....
 
Ndio uendelee kubarikiwa maananhuu haukuwa uzi wa jazba.amen

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Samahani ndugu yangu nimejibu kwa jazba kutokana na experience mbaya juu ya mabati hayo....

Labda pengine vijana walinipiga mchanga wa macho....

Uwe na wakati mwema....
Inapendeza kwa kuomba msamaha baada ya kuteleza!

brain is the beautiful part of the body.
 
Sawa sawa

Muda mwingine unashindwa kujizuia kwenye utumwa wa jazba na hasira lakini ukigundua makosa yako ni vyema kuweka mambo sawa....

PEACE AND LOVE.....

[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ndo ubinadamu wenyewe mkuu!

brain is the beautiful part of the body.
 
Vipi kuhusu Wa mikoani hizo gharama za delivery zipoje?

from Katesh using Siemens C55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…