Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,420 Reaction score 5,488 Sep 15, 2019 #41 aye said: kuna alieezeka na mabati haya atupe mrejesho kama yanapauka au la Click to expand... Kama una pesa yako umeipata kwa uchungu achana na haya mabati utakuja kulia , nenda ALAF uhakika wa ubora na rangi!! ALAF hawafanyi masikhara kwenye ubora wala huwezi kusikia mtu akilalamikia bati za ALAF. Jpili Njema
aye said: kuna alieezeka na mabati haya atupe mrejesho kama yanapauka au la Click to expand... Kama una pesa yako umeipata kwa uchungu achana na haya mabati utakuja kulia , nenda ALAF uhakika wa ubora na rangi!! ALAF hawafanyi masikhara kwenye ubora wala huwezi kusikia mtu akilalamikia bati za ALAF. Jpili Njema