Mabaya na mazuri ya toyota RAV4 old model

Obesity

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
111
Reaction score
46
Sasa nimefikia maamuzi ya kununua toyota RAV4 old model milango 5,cc2000,3S,kama kuna mtu anaifahamu anijuze mabaya yake na mazuri yake plz
 
Ni gari imara sana na vipuri vinapatikana kirahisi just go for it na fuel consumption yake ni nzuri tu
 
Ni gari imara sana na vipuri vinapatikana kirahisi just go for it na fuel consumption yake ni nzuri tu

mkuu kwa cc 2000 fuel consumption haiwezi kuwa nzuri unless nimekariri....!!
 
mkuu kwa cc 2000 fuel consumption haiwezi kuwa nzuri unless nimekariri....!!

Mkuu kumbuka hii ni 4WD ukilinganisha na 4WDs nyingine bado ni nzuri tu
 
chunguza maana nimeskia kuwa in 4wd ambayo ni automatic so huwez kuitoa ikiwa hauiitaj,kwa hiyo ulaji wake wa mafuta ni mkubwa
 
Ni gari imara sana na vipuri vinapatikana kirahisi just go for it na fuel consumption yake ni nzuri tu
Totaly wrong.
Kwa kuongezea tuu rav 4 inasumbuaga sana gear box.
 
Kamata Noah mkuu ujenge heshima kitaa ina body kubwa na cc2000
 
Kamata Noah mkuu ujenge heshima kitaa ina body kubwa na cc2000

TIQO kumbe noah inateta heshima kitaa eeh! mh bora niikose tu hiyo heshima.
 
Last edited by a moderator:
Totaly wrong.
Kwa kuongezea tuu rav 4 inasumbuaga sana gear box.

Una uhakika na unachokiongea? Isije ikawa ulikuwa haufanyi service halafu unasingizia Rav 4 zina matatizo ya gear box
 
Una uhakika na unachokiongea? Isije ikawa ulikuwa haufanyi service halafu unasingizia Rav 4 zina matatizo ya gear box
Natumia Rav4 tangu mwaka 2006. nina uhakika na ninachokisema.
 
Niliwahi kuwa na Noah,yaani unampa jamaa yako aendeshe wewe wala vitu... Maisha yale yalikuwa mazuuuuuri kwa sisi Mashababi!
 
Niliwahi kuwa na Noah,yaani unampa jamaa yako aendeshe wewe wala vitu... Maisha yale yalikuwa mazuuuuuri kwa sisi Mashababi!

Noah ndo mpango mzima wakuu, m nnayo yan full funiko yan heshima sana mi nnayo 4WD-BlackBody-TownHiace
Wanaopinga hawjui tu
Rav4 uzushi kwanza hata mazingira ya ndani ni matatizo padogo sana huwez jiachia hasa kwa sisi watu warefu

Kwa ufupi noah ni multpurpose car......

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…