Mabaya na mazuri ya toyota RAV4 old model

Kamata Noah mkuu ujenge heshima kitaa ina body kubwa na cc2000

Wakuu nimekuwa nikijiuliza swali ambalo sijpata jibu lake labda mnaweza kunisaidia.
Kwanini Noah pamoja na ukubwa wake huo bei yake ni ndogo sana?
 
Wakuu nimekuwa nikijiuliza swali ambalo sijpata jibu lake labda mnaweza kunisaidia.
Kwanini Noah pamoja na ukubwa wake huo bei yake ni ndogo sana?

Watu wana zidharau kwa vile wengi wanasanyia kama daladala
 
Sasa Noah na Rav 4 ipi inakula mafuta wakati zote ni cc 2000?

kwangu mimi zote zinakula kwavile ni cc 2000, kwahiyo kama ni gari ya kutembelea simshauri kununua yenye hizo. It should be 1800 or below
 
kwangu mimi zote zinakula kwavile ni cc 2000, kwahiyo kama ni gari ya kutembelea simshauri kununua yenye hizo. It should be 1800 or below

Mkuu huwa nashangaa kwa mtu anayeishi Sinza au Mwanyamala kununua gari kubwa kwa ajili ya kuendea ofisini Posta wakati hata VITZ au Starlet tu inafika
 
Mkuu huwa nashangaa kwa mtu anayeishi Sinza au Mwanyamala kununua gari kubwa kwa ajili ya kuendea ofisini Posta wakati hata VITZ au Starlet tu inafika

ujiko mkuu, na kutaka kuonekana!
 
kwangu mimi zote zinakula kwavile ni cc 2000, kwahiyo kama ni gari ya kutembelea simshauri kununua yenye hizo. It should be 1800 or below

Miafrika kwa kupenda sifa utaona amenunua cc 2000+ kwa ajili ya kuuzia sura mtaani
 
rav 4 inanibore lile tege tu...afu ndani imekaa kiold skul sana...bora noah mkuu...
 
mkuu kwa cc 2000 fuel consumption haiwezi kuwa nzuri unless nimekariri....!!

Kama huna hela ya mafuta gari ya nini? ....Kama huna hela ya vocha simu ya nini?
 
Kamata Noah mkuu ujenge heshima kitaa ina body kubwa na cc2000
Noah ni gari ya kitajiri kwa wenyewe...sababu ni zaidi ya gari..in sebule,reception,bedroom na conference room..viti vya kati vyaweza geuka nyuma mkafanya meeting etc..just go for it
 
Jamaa anatafuta gari la kutumia we unamshauri anunue basi la abiria la Noah
 
km unataka kumiliki gari yako ya kwanza na huna mipango ya hivi karibuni ya kubadili gari nakushauri anza na Rav 4 old model roho ya paka coz njia zetu na bongo siunazijua ful viraka na mashimo Rav 4 itakupa muda mwingi wa kujipanga mpaka utakapo pata maharifa hapo baadae....Noah utaishia kusanya abiria tu
 
Mdau nakushahuri kama barbara ni hizi Rough Road basi upo sahihii usirudi nyuma kwani hizo kitu zina spring nzuri sana na zina dumu kwenye barabra za wilayani na vijijini.

Ila kama upo towm mpango mzima NOAH au kama unajiweza na Kitu Ipsum ila Cc 2400.
 
hiyo gari ni nzuri sana hakikisha mara mbili mbili kua engine ni 3S kweli usije kua umeambiwa tu ukanunua yenye engine ya 4D....
 
rav 4 inanibore lile tege tu...afu ndani imekaa kiold skul sana...bora noah mkuu...

tege ni ubahili wako wa kutotaka kubadili driving member... ile ndio sign kua zimeisha sio mpaka zikatike barabarani mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…