Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli halisi. Ndio maana huwaoni hapaHuo ni msamiati uliobadilishwa maana halisi na wachumia tumbo na waimba mapambio:
1. Akifanya wanayotaka anakuwa muwekezaji
2. Akienda kinyume dk sifuri anageuka kuwa BEBERU
Ulitaka ichangiwe kisiasa ilhali ipo kielimu.Moderater hii ni thread ya kisiasa mbona mumehamishi jukwaa la elimu. Huku hakutakuwa wachangiaji.
Mabeberu kwa lugha ya kiingereza wanaitwa " Emperialists"! Ni mataifa yenye uchu wa kutawala nje ya mipaka yao!! Yanataka kushinikiza matakwa yao kukubalika na mataifa mengine vinginevyo unaonekana kuwa ni adui. Huko nyuma mabeberu wakubwa walikuwa Uingereza, ujerumani, ufaransa, ureno, ubelgiji na Japan. Kwa sasa mabeberu has a ni nchi za magharibi zikiongozwa na Marekani. Lengo la sasa la mabeberu ni kutawala mataifa mengine kiuchumi. Beberu mkubwa ndiye anawatawala hata mabeberu wadogo wa ulaya kwa sasa!! Ukikataa matakwa yake anakuwrkea vikwazo vya liuchumi na wanafyata mkia!!Anayejua maana ya mabeberu atufundishe nchi,taifa au watu gani?toa maoni yako hapa
.Umesema kwa sasa marekani,ulaya vip China,japan, australia,Canada,hawa si mabeberu kama sio kwaniniMabeberu kwa lugha ya kiingereza wanaitwa " Emperialists"! Ni mataifa yenye uchu wa kutawala nje ya mipaka yao!! Yanataka kushinikiza matakwa yao kukubalika na mataifa mengine vinginevyo unaonekana kuwa ni adui. Huko nyuma mabeberu wakubwa walikuwa Uingereza, ujerumani, ufaransa, ureno, ubelgiji na Japan. Kwa sasa mabeberu has a ni nchi za magharibi zikiongozwa na Marekani. Lengo la sasa la mabeberu ni kutawala mataifa mengine kiuchumi. Beberu mkubwa ndiye anawatawala hata mabeberu wadogo wa ulaya kwa sasa!! Ukikataa matakwa yake anakuwrkea vikwazo vya liuchumi na wanafyata mkia!!
. Sababu za kutako iwe jukwaa la kisiasa kwasababu neno"mabeberu" halikauki midomoni mwa wanasiasa hasa CCM Hata mh.rais wetu JPM Amekuwa akilalamika siku akisema mabeberu wana tuhujumu, pia ukasikia CCM, na watu. Wakiituhumu, kuwa, kituo cha haki za binadamu,Zito,lissu,na chadema wanatumika na Mabeberu ni maana nikataka nijue mabebera ni akina nani mpaka wawatumie wanasiasa wetu kutuhujumu.je wew unadhani hi si hoja ya kisiasa?Ulitaka ichangiwe kisiasa ilhali ipo kielimu.
Chukua kitabu cha Historia darasa la 5 fungua Mada ya mwisho utapata majibu yako yote.
Ulitaka ichangiwe kisiasa ilhali ipo kielimu.
Chukua kitabu cha Historia darasa la 5 fungua Mada ya mwisho utapata majibu yako yote.
Nishakupa pakusoma umalize dukuduku lako! Kwa kiingereza ni 'Imperialists'. Sababu za kutako iwe jukwaa la kisiasa kwasababu neno"mabeberu" halikauki midomoni mwa wanasiasa hasa CCM Hata mh.rais wetu JPM Amekuwa akilalamika siku akisema mabeberu wana tuhujumu, pia ukasikia CCM, na watu. Wakiituhumu, kuwa, kituo cha haki za binadamu,Zito,lissu,na chadema wanatumika na Mabeberu ni maana nikataka nijue mabebera ni akina nani mpaka wawatumie wanasiasa wetu kutuhujumu.je wew unadhani hi si hoja ya kisiasa?
Hawa hawana sera za kulazimisha matakwa yao kwa nchi zingine tofauti na nchi kama UK na USA..Umesema kwa sasa marekani,ulaya vip China,japan, australia,Canada,hawa si mabeberu kama sio kwanini
Ki lugha beberu ni mbuzi duneAnayejua maana ya mabeberu atufundishe nchi,taifa au watu gani?toa maoni yako hapa