FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni ya dollar yatakayopatikana katika mauzo ya dawa hizo ziingie mifukoni mwao na si kwenda Madagascar. Video chini ina maelezo zaidi..