FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Dawa inatibu sio kuzuia maambukiziWameongeza siku 14 lockdown
Dawa inatibu sio kuzuia maambukizi
Mbona hao pichani hawakufa?Wabongo mmerogwa sijui na nani. WHO hawana shida na dawa. Wao wanatafta dawa usiku kucha. Kukataa dawa ya madagasca usifikiri ni wapumbavu. Tyari wameshaipima na labda wameona mapungufu na sio effective.
Kitu kingine dawa kuwa aproved huchukua number of procedures and time ili itumike on mass population.
Ndyo maana wengi walikufa kwa kukibilia kikombe cha babu.View attachment 1440102
Sent using Jamii Forums mobile app
Time hii Africa imewawahi wazungu, lazima wachachawe.WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni ya dollar yatakayopatikana katika mauzo ya dawa hizo ziingie mifukoni mwao na si kwenda Madagascar. Video chini ina maelezo zaidi..
Nacheka username yako 😀Time hii Africa imewawahi wazungu, lazima wachachawe.
Hapana.Dawa inatibu sio kuzuia maambukizi
Wanajua kwa hakika hiyo dawa ni ujanja ujanja wa kupiga pesa na kuwazubaisha wajinga huku mambo mengine yakiendelea.Wameongeza siku 14 lockdown
Ulikuwepo wakati wanaipima, kwanini wasisema wazi kwamba inamadhara hayo unayosema kuliko wanavyodai kwamba ni unproven, sasa walitaka nani aiprove? Madagascar wamefanya majaribio na imefaa, let WHO prove otherwiseWabongo mmerogwa sijui na nani. WHO hawana shida na dawa. Wao wanatafta dawa usiku kucha. Kukataa dawa ya madagasca usifikiri ni wapumbavu. Tyari wameshaipima na labda wameona mapungufu na sio effective.
Kitu kingine dawa kuwa aproved huchukua number of procedures and time ili itumike on mass population.
Ndyo maana wengi walikufa kwa kukibilia kikombe cha babu.View attachment 1440102
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua vichekesho vinalipiwa?Nacheka username yako 😀
Hujui kinga ni bora kuliko tiba!!???sasa kama dawa inatibu, why lockdown? unawatibu wote wanaisha na virus kwisha... kuliko lockdown ambayo ina madhara makubwa kwa watu... unless there is absolute necessity , hakuna haja ya kuwela lockdown
Hapana.
Madagascar wanasema dawa yao ina namna zote mbili. Anatumika kukinga na kutibu hapo hapo.
Lakini hapo hapo wako serious kuhakikisha watu wao wako kwenye Lockdown mpaka leo!
Niuzie papuchi.Unajua vichekesho vinalipiwa?
Iyo dawa imetoka lini ya madagasca. WHO wamesema hawajaiuprove sio kuwa wameikataa.Ulikuwepo wakati wanaipima, kwanini wasisema wazi kwamba inamadhara hayo unayosema kuliko wanavyodai kwamba ni unproven, sasa walitaka nani aiprove? Madagascar wamefanya majaribio na imefaa, let WHO prove otherwise
Duh, hata ukiona papuchi unacheka! We kiboko.Niuzie papuchi.