kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Najiuliza hii hali inayoonyeshwa na mamlaka za baadhi ya nchi za kiafrika kuruhusu wachina kuingia nchi zao, wana syndicate gani na mabeberu?
Kwanini wanatamani kusikia watu wao wanaumwa Corona?
Kwanini hawana hofu ya ugonjwa huu?Iwapo ugonjwa umeingia nchi kama Italia,ni kwa vipi ishindikane kwetu kwa kujidanganya eti wasafiri wanafanyiwa screening?
Kwanini watu wetu wanasafiri kwenda China na kurudi bila wasiwasi?
Je, huenda kuna kitu kimetolewa kwa watoa maamuzi kupotezea hii hali ili hii Corona iingie kisha dawa zipatikane waanze kutuuzia kwa kuchukua madini yetu?
Hakuna mtu anayeweza kuniaminisha eti nchi zetu zimejipanga kuliko Italy.
Tumwombe Mungu tu, kama kuna mtu anafanya makosa makusudi kwa kutokutimiza wajibu, Corona ikiingia imuanzie yeye binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app