Mabenki makubwa yavunja rekodi ya faida, yapata trilioni mbili

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nani kama mama? Hafoki mabarabarani lakini kazi zinaongea.
 
Trilioni mbili ni sawa na shilligi ngapi za mwaka 2000.

Yeye kajenga walipoweka msingi watangulizi wake. Au alikuta hayo mabenki yana faida sifuri!?
 
Jamii forum imejaa kenge wajinga sana na wewe ni moja ya kenge waliokubuhu kupotosha umma kupitia mitandao ya kijamnii
Kenge naye ni mnyama kama alivyo binadamu.

Hiyo faida inatokana na uwekaji mtaji ndani ya miaka hii minne au hizo faida ni muendelezo wa faida za hayo mabenki?

Au Samia aliyakuta yanapata hasara na ndiyo kwa mara ya kwanza yamepata faida?
 
Nani kama mama? Hafoki mabarabarani lakini kazi zinaongea.
View attachment 3219847
Kweli unaweza kushindana na baba yako aliyetumia hela zake kukusomesha, akaahirisha kujenga nyumba yake, ili aweze kukusomesha wewe?

Eti, ujisifu kwa kuwa wewe, baada ya kusomeshwa na huyo baba yako, umeweza kujenga nyumba?

Useme umeweka rekodi ya kumpita baba yako, yeye hakujenga nyumba, wewe umeweza kumshinda na kujenga nyumba?

Hiyo hoja ina mantiki kweli?
 
Hkn chenye mwanzo kikakosa mwisho...
 
Punguza gubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…