Mabenki ya bongo yanatisha personal info wanawaambia maadui wa wateja wao?

wanawake kweli hatari,sie yetu macho na masikio tu

ila yule Mange atakuwa fyatu sana,mtu yuko
USA anagombana na watu wa Tanzania.hizo stress au depresion.....
blog yake imekuwa uwanja wa mapambano,haeleweki mara hatuhesabu matusi
tunahesabu hela kiko wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Yaani USA maisha ni busy busy ,family mara hapa mara pale .Ukipiga simu bongo hey mom poa poa .Its summer jua huko nje limepamba moto zaidi ya la bongo ,watoto wapo vacation mara shughuli hii mara Ile .kusafiri Yaani Muda wa kufuatilia Watu unatoka wapi?mume na watoto tosha Kuku keep busy .Mambo ya primary hayo,USA nchi nzuri ila Kama mwili upo USA akili bongo arudi tu.Ugomvi si Kitu kizuri
 

Silence ndio dawa ya maisha .ukichokozwa Unakaa kimya basi.Unamwachia mungu kila kitu.
 
Wote wawili fyatu...hakuna kitu cha busara chochote unaweza kusoma kutoka kwao. Kama mtu anaweza kukaa chini na kuandika page zaidi ya 5 matusi mwanzo mwisho huyo sio mzima kichwani.
 
Silence ndio dawa ya maisha .ukichokozwa Unakaa kimya basi.Unamwachia mungu kila kitu.
Ujumbe wangu ni huu ila hauwahusu Mange na Sinta bali post yako....

Ukikubali kusukumwa sukumwa kila mtu atakusukuma! Kuna wakati inabidi ukatae na kusema "nimechoka kusukumwa sukumwa". Utaanza kuheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…