Mabenki yanayotoa mikopo ya ujenzi wa nyumba

Mabenki yanayotoa mikopo ya ujenzi wa nyumba

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
1,053
Reaction score
914
Kwa yeyote anayejua benki zinazotoa mikopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na masharti yake tafadhali nijulishe
 
Mortgage loan ni almost banks zote tu, sharti ni uwe mfanyakazi/biashara inayotambulika...lakini dah! Jipange aisee
 
ni benki zote inategemea na aina ya nyumba unayotaka ila kwanini usijiunge na NHC nao pia wako poa na nyumba zao ni more cheaper compared na mkopo wa benki in the sense of interest
 
Back
Top Bottom