MABEPARI WA KIHAYA MPO TUKUMBUSHANE

Okay saghwa, mkishakubaliana, muilete Jerusalem kesho mchana nitakuwa pale niwape cash kidogo niko nayo ila haina matumizi ni dolar milioni 380,nitawapa mkajengee msingi

Ssawa kabisa bwana Murishiwa tutamtuma ndugu Kaijage aje kuichukua
 
Okay saghwa, mkishakubaliana, muilete Jerusalem kesho mchana nitakuwa pale niwape cash kidogo niko nayo ila haina matumizi ni dolar milioni 380,nitawapa mkajengee msingi
iweee
mwesige[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukonyegela amefurahi sana. Anaahidi kabilioni kamoja kwa WanaMuleba
 
Mbna me ni muhaya lkn sina sifa za kijinga hata watu ninaokaa nao uwa wananishangaa au kwa kua sina hela
 
mmmh! Ila nawapenda wahaya wa kiumeni wako njema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…