figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Age-mate keshakula ulabu hapo.Nimekumbushwa huu wimbo wa Mabepari walia kukatiwa Mirija. Wqlipotangaziwa azimio la Arusha.
Mafisadi wa CCM na Chawa wao ndivyo watalia ikitungwa katiba mpya.
Katiba mpya yaja, Poleni Machawa wote.
Mafisadi na wasioitakia mema Nchi wamejitahidi kupinga katiba Mpya ila imeshidikana sasa ni maji ya shingo.
Poleni Machawa wote mnaopiga katiba mpya.
Mabepari wa sasa ni CCM wote isipokiwa Jaji Warioba tu.
View attachment 3624696
Azimio la Arusha la Samia, Mwigulu na Abdul ni Katiba MpyaAge-mate keshakula ulabu hapo.
At least wana uhuru wa kuongea, hata wazee wa zamani watakuambia kuwa under colonialism kulikuwa na maisha bora, elimu bora na mipango bora kuliko baada ya uhuru lakini bado watu walipambania uhuru simply tu kwakuwa hakukuwa na haki.Katiba mpya inaweza kuja halafu maisha yakaendelea kukuchapa vile vile.
Kenya wana katiba mpya ila haijafanikiwa kuwapa Unga wanaouhitaji.
Huo uhuru wa kuongea wakati una njaa unakusaudia nini.At least wana uhuru wa kuongea, hata wazee wa zamani watakuambia kuwa under colonialism kulikuwa na maisha bora, elimu bora na mipango bora kuliko baada ya uhuru lakini bado watu walipambania uhuru simply tu kwakuwa hakukuwa na haki.
Mliwafukuzia nini wakoloni wa Kiingereza kama uhuru wa kuongea hauna maana, kwanini mlisaidia Sauth Afrika, Namibia(the then SWA), Zimbabwe(the then Rhodesia) na Mozambique kwani under colonialism materially life was better tatizo lilikuwa ni haki na freedom of expression. Why the hypocrisy?Huo uhuru wa kuongea wakati una njaa unakusaudia nini.
Uhuru tulishaupata mnajifanya kujisahaulisha kwa kukosa agenda.Mliwafukuzia nini wakoloni wa Kiingereza kama uhuru wa kuongea hauna maana, kwanini mlisaidia Sauth Afrika, Namibia(the then SWA), Zimbabwe(the then Rhodesia) na Mozambique kwani under colonialism materially life was better tatizo lilikuwa ni haki na freedom of expression. Why the hypocrisy?
Mnaoona kuwa mlishapata uhuru tulieni hivyohivyo mle matunda ya uhuru na ambao wanaona kuwa hawana uhuru wowote wataendelea kupambana mpaka wapate uhuru, whether you like it or not that's the way it's gonna be.Uhuru tulishaupata mnajifanya kujisahaulisha kwa kukosa agenda.
Tunachopambania sasa ni maisha bora kwa kila mtu na Serikali ndicho inachofanya.
Tarehe 9 Disemba 1961 ilishuka bendera ya mkoloni ikapanda ya Taifa huru la Tanganyika.Mnaaona kuwa mlishapata uhuru tulieni hivyohivyo na ambao wanaona kuwa hawana uhuru wowote wataendelea kupambana mpaka wapate uhuru, whether you like it or not that's the way it's gonna be.
Uhuru na haki vinatosha. Sio hali hii iliyopoKatiba mpya inaweza kuja halafu maisha yakaendelea kukuchapa vile vile.
Kenya wana katiba mpya ila haijafanikiwa kuwapa Unga wanaouhitaji.
Hali gani hiyo mkuu Gnz ni wavivu tu mkuu.Uhuru na haki vinatosha. Sio hali hii iliyopo
Endeleeni kuboresha maisha kwa kuteka, kufira, kuua, kubinya civil liberties na human rights but the truth is you can never control people's displeasures.Tarehe 9 Disemba 1961 ilishuka bendera ya mkoloni ikapanda ya Taifa huru la Tanganyika.
Kwa ridhaa zetu 26 April, 1964.
Taifa huru la Tanganyika na Taifa huru la Zanzibar yaliungana kuifanya Tanzania.
Uhuru upo tayari, tupo tunaboresha maisha ya watu.
Wewe unajifananisha na Kenya kwenye kipi?Katiba mpya inaweza kuja halafu maisha yakaendelea kukuchapa vile vile.
Kenya wana katiba mpya ila haijafanikiwa kuwapa Unga wanaouhitaji.
Zama ulizo thrive wewe Yawezekana kulikuwa kuna haki na usawa lakini sasa hivi haki hakunaHali gani hiyo mkuu Gnz ni wavivu tu mkuu.
Sisi tumethrive kwenye hali hii hii kwanini wao wasiweze what is so special about them?
Mimi nataka katiba mpya. Maisha yanichapie kwenye katiba mpyaKatiba mpya inaweza kuja halafu maisha yakaendelea kukuchapa vile vile.
Kenya wana katiba mpya ila haijafanikiwa kuwapa Unga wanaouhitaji.
Andika ya familia yako kama upo nje ya utaratibu wa Nchi.Mimi nataka katiba mpya. Maisha yanichapie kwenye katiba mpya
Kwenye masha yako hutakaa uniattack ufanikiwe.. Kichwa chako kimejaa kamasi ndo maana huwa nakupuuzaAndika ya familia yako kama upo nje ya utaratibu wa Nchi.