Uyu ndio rapper mkali kwa sasa Bongo anaitwa MABESTE........
Ni mkali wa kuchana, ana mastairi ya kufa mtu, ana swaga na kila kitu cha kuitwa best rapa kwa sasa in TZ.
Anatokea BHITZ.
Msikilize kwenye nyimbo zake kama Sirudi tena,Nishauri,Dole na Baadae sana..