Mabeyo: Jeshi libuni miradi kuisaidia Serikali

Vijijini kwetu kuni bure au gesi bei juu kuliko kuni na mkaa.
Kama soda na bia zinafika KILA kijiji sembuse gas.
Bodaboda zimefungua vijiji.
Zamani hadi ufike kijijini unatumia wiki kufika.
Uhitaji wa gas vijijini si Mkubwa kuliko mijini usafiri sio tatizo.
 
Ni vzr pia kujaza mafuta katka vituo vya jeshi na wawe na Bei moderate bila kuweka faida kubwa kuwazuhi Hawa wanopandisha Bei ya mafuta kiholel
 
Huko ni kukaribisha ufisadi jeshini. Lijitegemee kwa mahitaji yake lakini miradi ya biashara. Big no.
 
Hivi yale maji ya UHURU bado yapo? sijawahi kuyaona yakiuzwa. Naona Afya, Masafi, Uhai, Hill, Kilimnjaro na Dew Drop pekee. kulikoni???
 
nimekuelewa.....wasogeze miradi ya maendeleo jamii vijijini kabisa......waboreshe hudama za afya nyumba kwa nyumba vijiji vilivyo karibu na kambi....mahusiano........hii ya kituo cha mafuta haiko sawa...nia ni nzuri ila mstari umepinda...
 
nimekuelewa.....wasogeze miradi ya maendeleo jamii vijijini kabisa......waboreshe hudama za afya nyumba kwa nyumba vijiji vilivyo karibu na kambi....mahusiano........hii ya kituo cha mafuta haiko sawa...nia ni nzuri ila mstari umepinda...
Naheshimu maoni yako in haki yako
Lakini vituo vingi vya mafuta huchakachua mafuta na mita za pump wanajeshi hakuna ni standard sababu na magari yao wanajaza hapo

Waanzishe vituo nchi nzima vya mafuta hasa mijini wataleta nidhamu kwa wenye vituo kutochakachua mita au mafuta sababu gauge ya gari itasoma juu kituo cha mafuta cha jeshi kuliko kituo cha binafsi japo bei ni moja ya Ewura
 
Gesi vijijini inahitajika sana tu kuna walimu,manesi,wakulima,wanunua mazao ,wafugaji nk tatizo bei ya kufikisha kubwa mno Jeshi Lima magari ya mizigo kila Siku yanaenda huko maporini waweza fungua maduka ya jumla karibu na kambi zao

Bodaboda wenyewe huko porini wanahitaji majiko ya gesi ya kupikia ndio maana wengi wana solar majumbani mwao gesi wanashindwa sababu haiko huko porini na hakuna wa kuwafikishia
 
Sola ni muhimu kuliko gas.
Kuni na mkaa tele wapelekewe majiko ya kuni au mkaa yanayofua umeme ndio standard yao.
Mkaa kijijini elf 12 gunia gesi elf 20 kujaza jumlisha usafiri kufuata wilayani inafika elf 35.
Sio KILA kijiji kina kambi ya jeshi
 
Sola ni muhimu kuliko gas.
Kuni na mkaa tele wapelekewe majiko ya kuni au mkaa yanayofua umeme ndio standard yao.
Mkaa kijijini elf 12 gunia gesi elf 20 kujaza jumlisha usafiri kufuata wilayani inafika elf 35.
Sio KILA kijiji kina kambi ya jeshi
Solar haipiki chakula middle class vijijini sasa hivi in bodaboda

Ndio maana nataka JWTZ waingie mikataba na bodaboda vijijini kwa kuwa na kituo cha kuwashushia majiko mobile shop ambako watanunua being jumla na kila bodaboda kwenda kuuza mbele kwa mbele huko vijini kwake porini

Kupelekea walimu wa msingi,sekondari za kata no

Jeshi liwe na mobile wholesale shops za gesi ya kupikia wao waki kwenye position nzuri za kufanya hiyo business sababu ya nature ya magari yao yako so strong kwenda popote hivyo wana competitive advantage wakiingia hiyo business
 
Kampuni za ulinzi zipi hizi zinamlipa askari elfu 80 kwa mwezi askari halafu anamwibia mteja na kutokomea kusikojulikana?
Kwani walinzi wa Suma JKT wanalipwa bei gani? Kawasikilize kilio Chao, wamejawa stress ndio maana wanafanya mambo ya ajabu sana
 
Kwani walinzi wa Suma JKT wanalipwa bei gani? Kawasikilize kilio Chao, wamejawa stress ndio maana wanafanya mambo ya ajabu sana
Sijui wanalipwa shilingi ngapi ila sijawahi sikia askari wa Suma JKT kamwibia mteja kwenye lindo na kutokomea gizani kama walinzi wa kampuni binafsi za ulinzi
 
Una mantiki katika comment yako, lakini uliyemjibu pia ana mantiki ya msingi.

Unakumbuka ni kwa nini maduka yao duty free shops yalifungwa?

Ukiipata sababu, ndiyo mantiki ya hoja ya member uliyemjibu.
 
uko sahihi mkuu, hili la mafuta kuna siku atakuja kiongozi mwingine atawatoa huko, hii utanikumbuka.......hii wameingilia maslahi ya watu flani fulani.......na viongozi wetu huwa hawana soni wala aibu....mihemko mingi....kila mmoja na zama zake....jeshi ni amri tu....wana mpango wa kuagiza na kuwa na visima vikubwa..hilo ni sawa.....sbb sereikali ndie muagizaji mkuu.....kuna uchakachuaji mkuu huko....
 
hakutakuwa na shida km hio miradi yao ama kampuni zao zitakuwa znashindana sokoni ila km ndo ztakuwa znapewa tu tenda moja kwa moja bila kushindanishwa sidhan km kutakua na manufaa sn kwa maendeleo ya biashara
 
Hakika kuna taaluma Kibao tu
 
ni kweli but kuwa na wataalamu ni jambo moja ila biashara ni jambo lingine tofauti kabisa, labda km kampuni zao zitalindwa dhidi ya ushindan toka sekta binafsi vinginevyo serikali itakua inazibail out mara kwa mara, kimsingi jeshi lina nafasi but sio kubwa sn labda kwe defense, misri wamefny sn hio tangu al sisi aingie but malalamiko ni makubwa sn toka sekta binafsi coz hakuna fair competition maana jeshi haliwez kuinvest heavily halafu likaruhusu lifilisike kisa kuna ushindan toka sekta binafsi hii ndio shida hasa afrika kwetu, kuwa na wataalamu ni swala moja but ujasiriamali na biashara ni swala lingine tuwaulize warusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…