mabiashara

si ujieleze fresh ueleweke Agrey sebastian
utashauriwa kilimo kumbe shamba hauna,
au kafungue duka kariakoo kumbe mtaji ni wa jenge,
sema weye kwanza.

kwa ufikiri wako na uzoefu wako unaona nibiashara ipi nzuri ya kufanya na ambayo inalipa!
 
Last edited by a moderator:
biashara yoyote inalipa na hakuna mtu anayefanya biashara ambayo hailipi.
 
Hapa ndo huwa tunakosea, Hakuna bishara Duniani ambayo sio for profit, hata kama unauza Mchicha bado ni Biashara na biashara yoyote ile inaegemea Umejipostion vipi, Hicho ndo kikubwa kuliko wote, Make watu wanazania biashara ni zakuuza Magari ndo biashara ila za Kuuza Karanga si Biashara kabisa,

Na kulipa au kuto kulipa unategemeana na Jitihada zako wewe mwenyewe, Kuna story moja ya Jamaa fulani wa West Africa alikuwa ni Muuza Karanga ila kwa sasa hiyo Biashara yake imefikisha mbali sana kiasi kwamba anatengeneza Siagi ya karanga na kuuza hadi ulaya na Marekani,

Tatizo liko kwa Wabongo sasa, Utakuta mtu anajishughulisha vizuri sana na Kilimo au uuzaji wa Mboga za Majai, na akisha pata tu pesa kifdogo hutamuona hapo tena Badala yake utakutanan naye ameanzisha Baa au duka la rejareja,

Na hata vijijini tuliwahi fanya Research Moja mikoa ya Kaskazini, Wengi wa wakulimatulikuwa tukiwauliza Malengo yao ya Baadae ni nini wengi ilikuwa ni Kujenga nyumba, mara kununua Gari, mara kuwa na Duka, yaani ndo malengo ya wakulima hakuna mwenye malengo ya Kufany fichi kilomo kiwe kikubwa kabisa na hata amiliki viwanda vya kuprocess mazao yake,

So tukohapa tulipo kwa sababu yakukosa Malengo madhubuti, tumabakia watu wa kujaribu
 
Una mtaji kiasi gani , uko eneo gani na una experience na hobby na biashara zipi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…