Niione hiyo mkuukuna yule baharia akaamuaga kuutwika kabla,ndio akaharibu kabisaaa mpaka bibi harusi akawa analia[emoji28][emoji28]
Kuna hii tabia imezuka siku za hivi karibuni japo ilikuepo pia zamani. Tabia yenyewe ni hii ya maharusi kuingia ukumbini huku wakicheza muziki kwa step ili "kuchangamsha" shughuli.
Kichekesho ni pale unapokuta mmoja wapo wa maharusi hasa mwanaume sio mtu wa muziki na hajui kabisa kucheza! Unakuta jamaa hana "moves" kabisa yaani mziki unaenda kushoto yeye anaenda kulia ila kakazana tuu kitendo kinachomfanya achoreke na kutia huruma huku watu wakianza kucheka.
Jamani, mimi naona kama mtu hujui kucheza we kubali yaishe tuu mnaweza kuingia mmeshikana mikono bila mbwembwe nyingi na mambo yakanoga.
ipo video maarufu sana ila youtube nimeikosa,jamaa anacheza na kila mtu mpaka MC[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3]Kila nikifikiria kile kipengele naghairi kuoa
Yanaogeleaaaa yanaogeleaWafanye tuingie na wimbo wa mabata madogo madogo..
Kuna send off moja nilihudhuria sasa wimbo aliochagua bi harusi kuingilia ukagoma ku play aisee ilikua ni shida bi harusi mtarajiwa kagoma katakata kuingia na wimbo mwingine zaidi ya saa nzima watu wamekaa wanasubiri..Mimi nashangaa kwanini mabibi harusi wa zamani walikuwa wakilia kuanzia siku ya send off hadi siku ya harusi yenyewe?
Lakini mabibi harusi wa siku hizi wamejaa over confidence yaani maconfo kwmw yote?!
Mabibi harusi makauzu utasema kitu gani?! [emoji848][emoji848]
Kwenye kucheza ndiyo usiseme wanacheza kama hawana akili nzuri jamani chaaah [emoji108]
Inashangaza sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuoe mimi na bado unilazimishe kucheza kwaito! Bora atafute X wake waingie naye ukumbini mimi nitabaki kuwatazama.