Mabibi na Mabwana nawaleteeni Colours of Africa

Mapovu yatawatoka sana mwaka huuu yule mshkaji wenu kibo sijui yuko wapi
 
Beat toka uhuru n nzito sana inabidi msanii awe ana payuka na kuimba kwa nguvu km davido alichofanya kwny tchelete
Mkuu Hapa Unataka Kutulisha Matango! Beat Ya Wimbo Huu Katengeneza Oskido Kila Kitu Mpaka Mixing.! Na Hiyo Tchelete Ya Davido Beat Alisuka Shizzy. Ningependa Ufahamu Hilo.
 
Nadhani baada ya zigo ya AY na Chibu, kisha kamatia ya Navykenzo na Unconditionally bae ya Sauti Soul na Kiba na sasa hii ya mafikizolo na Chibu ndio ngoma kali sana zilizonibamba kwa mwaka huu...
 
Well,huu wimbo ni mzuri.Camera haikumpa nafasi kubwa Mondi kuonesha zile njonjo zake kwenye vudeo lakin audio sauti yake imetawala.
Kwangu mim,Theo kafanya vizur kuliko wote japo ushirikiano ulikua mzuri.
Napenda zaidi ile part ya wale watu wareeefu wanne wanaocheza then wanainua miguu yao kama rula.

Mwisho kabisa yule bibie wa Mafikizolo (Nhala) mbona anaimba kiswahili kama lugha mama,yani sio tu kutamka maneno lakin pia lafudhi ni ya Msata kabisa.
 
Ooooh! Haina haja ya kurudi tena Tandale...baki huko huko Madale naamini atakupenda tu yule binti wa Karamajong
 
Nimeipenda video yake hadi nyimbo yenyewe safi sana Icon wa taifa umeitendea haki hii nyimbo.
 
Usiwape nafasi kaka ...wakikishirikisha wapoteze ..
 
kuna sehemu mond katupia kimasai sema kamera ilimbania pale katikati ya wimbo nilipenda aonekane sana na yale mavazi then aruke ruke hivi.off course beat ni zito sana na mond sauti yake kama inasikika kwa mbali hiv japo siyo case haibadilishi ukali wa nyimbo na video yake.
 
Katika maisha hamna kitu kizuri kama kujiwekea malengo ktk kila kitu unachofanya na uhakikishe
unajituma kuhakikisha malengo yako yanatimia .Hilo naliona kwa diamond ,wakati mwaka unaanza target zake za mwaka huu ni kuhakikisha mziki wake unapenya South Africa kwa hilo kupitia kazi aliyofanya na AKA na hawa Mafikizolo amefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Tatizo wasanii wa TZ wanapenda kushindana mpaka wanasahau wao wenye wanataka nn,mwisho wa siku wanajikuta wanafeli kwa tangu mwanzo walishindwa kujiwekea malengo na njia za kuhakikisha malengo yao yanatimia ,wanaishia kulalamika wanabaniwa na kuanza kujenga chuki na wivu kwa mtu aliyefanikiwa kutimiza malengo yake.
Wasanii wa bongo wanamzarau diamond lkn AY anaonja mafanikio ya kufanya nae kazi ktk chart cha iTunes ghana nyimbo ya Ay ft diamond inashika nafasi ya 26 (iTunes Top 100 Music Chart - Real-time iTunes Music, App & Movie Charts) na kenya nafasi ya pili (Kenya iTunes Top 100 Songs | Hot Music Charts) na bado mwaka jana mwezi wa nane nyimbo ya nana ilishika nafasi ya kwaza ktk iTunes chart za Burkina Faso kati ya nyimbo mia na hata leo ukiangalia nyimbo mia moja ktk itune chart ya burkina faso nyimbo zake za kamwambie inshika nafasi ya 43 na nasema nawe 44 (Burkina Faso iTunes Top 100 Songs | Hot Music Charts diamond platnumz kazi nzuri.
 
Mkuu Hapa Unataka Kutulisha Matango! Beat Ya Wimbo Huu Katengeneza Oskido Kila Kitu Mpaka Mixing.! Na Hiyo Tchelete Ya Davido Beat Alisuka Shizzy. Ningependa Ufahamu Hilo.
Haaaah serious beat ya tchelete shizzy na uhuru wote wamefanya kazi ila uhuru ndo alifanya vitu vingi na hili beat uhuru pia kanyonga oskido may be maana uwa wanafanyaga pamoja nyimbo zao uhuru na oskido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…