Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hao polisi hawana miili ya vyuma!Nimeona hii habari.Na mbeya ndicho kina kwenda kutokea.
Uwezi kutoa uhai wa mtu alafu cheo chako kinaonyesha haki unayo wewe na maelezo yanaonyesha umefanya makusudi.
USA kwa sasa huyo ndo anaitwa baba bora wa kulipiza kisasi.
PolisiCCm labda mkaishi kule nyumba zenu za mabati zilizopo polisi na msijichanganye nzengo kwa chuki mnazowawekea watu.
Bwana Patrick habari aseeh,Huyo nae ni mjinga tu, mtoto alikua kwenye gari la wizi na alikua na silaha mkononi, polisi lazima alinde maisha yake
Alafu jamaa kamuua polisi mwingine sio aliyemuua mtoto wake!!! Na anaenda kuozea jela, aliyemuua mwanae Bado Yuko mtaani tu!!!!
Naam, mtoto keshakufa ila kuna polisi naye kesharudi kwa muumba, kwa hisani ya baba.Mwisho wa hasira ni hasara, kunyongwa au cha maisha. Mtoto ndio amesha fariki Hana nafasi nyingine
Ukishindwa kudhibiti hasira zako lazima ukutane na majanga, huku uswahilini tuna Sema mchuma janga ula na wakwao. Mtoto kachuma janga, Kala na baba yake.
Hivi kwa mfano familia ya mzee kibao iwafahamu wahusika wa kifo cha ndugu yao au familia ya mdude imfahamu aliyetokomea na ndugu yao na mamlaka zikawa kimnya kama hazipo unafikri watakaa kama bata waseme hasira hasara?Mwisho wa hasira ni hasara, kunyongwa au cha maisha. Mtoto ndio amesha fariki Hana nafasi nyingine
Ukishindwa kudhibiti hasira zako lazima ukutane na majanga, huku uswahilini tuna Sema mchuma janga ula na wakwao. Mtoto kachuma janga, Kala na baba yake.