Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 447
- 231
bandugu tusaidiane mchakato mzima wa Hostel hapo mabibo maana wengine 2mepangwa Udism afu mjini ndi vile ha2jawahi kufika!
Msaada tafadhali kwa anayefahamu!
Msaada tafadhali kwa anayefahamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana umentoa ushamba ndugu lazima tutaftane maana mjini ni nouma tusije poyea wenzio. =788563639 ndo mpango mzima tutaftane.dogo mabibo hosteli ni hosteli ambazo zinapatikana nje ya chuo, mwendo wa km 2 hivi, kama utapangangiwa mabibo itakubidi uwe unapanda basi kila siku nauli ni mia tatu kwenda na kurudi 300. hosteli ni nzuri sana,. mtakaa wanne katika rum lakini udsm tunabebana kwa hiyo makuwa mara 2 yaani 8. majengo ni gorofa 3. paking kubwa, wanawake mana majengo makubwa mawili , wanaume matatu, mastars 1. kila moja uwezo ni watu 500. kubebana inakuwa 1000. kama ukipangiwa main campus, uhitaji usafiri ,lakini gharama za malazi main campus ni kubwa kukompase katika usafiri gharama za malazi mabibo ni ndogo .main campus kuna faida ya librali, madarasa mengi ya kusomea. mabibo kuna uhaba wa madarasa , hakuna generata, ila chakula ni mingi mingi maana ni mtaani. mi nimekaa mabibo miaka miwili, campus mwaka mmoja , na nakwenda campus mwaka wa pili tena. kwa hiyo dogo kama umewahi soma bweni ni kama campus 100%. na kama umesoma day ni kama mabibo 100%. vyoo vya mabibo ni vizuri na visafi. ila campus vyoo ni vichafu vichafu vichafu. namalizia. SASA DOGO ITABIDI UNIBEBE, SISI NDO WAKONGWE WA UDSM. :israel: udsm ni chuo cha taifa na ndo mana tunapiga msuli wa kufariki mtu
maelekezo yote utapata pindi ufikapo chuoni, unaweza ukapangiwa main-campus au mabibo hostel. kwa maelezo mengine tembelea website ya chuo.
Tunabebana na mm ntakua wakwanza kuomba msaada wako ka hutojali:0718247575 finalist
bandugu tusaidiane mchakato mzima wa Hostel hapo mabibo maana wengine 2mepangwa Udism afu mjini ndi vile ha2jawahi kufika!
Msaada tafadhali kwa anayefahamu!
ww hata semista hutamaliza ...
Tulia bwana mdgo! Utapotea sana ukishafika hasa kwenda Yombo 4 na 5....afu kuna ishu ya ruti...hiyo ni ndani ya mwezi mmoja utaiskia tu!
Tulia bwana mdgo! Utapotea sana ukishafika hasa kwenda Yombo 4 na 5....afu kuna ishu ya ruti...hiyo ni ndani ya mwezi mmoja utaiskia tu!
Mabibo hostl vijana wanashikishana ukuta ile mbaya sijui kwa nini.
dogo mabibo hosteli ni hosteli ambazo zinapatikana nje ya chuo, mwendo wa km 2 hivi, kama utapangangiwa mabibo itakubidi uwe unapanda basi kila siku nauli ni mia tatu kwenda na kurudi 300. hosteli ni nzuri sana,. mtakaa wanne katika rum lakini udsm tunabebana kwa hiyo makuwa mara 2 yaani 8. majengo ni gorofa 3. paking kubwa, wanawake mana majengo makubwa mawili , wanaume matatu, mastars 1. kila moja uwezo ni watu 500. kubebana inakuwa 1000. kama ukipangiwa main campus, uhitaji usafiri ,lakini gharama za malazi main campus ni kubwa kukompase katika usafiri gharama za malazi mabibo ni ndogo .main campus kuna faida ya librali, madarasa mengi ya kusomea. mabibo kuna uhaba wa madarasa , hakuna generata, ila chakula ni mingi mingi maana ni mtaani. mi nimekaa mabibo miaka miwili, campus mwaka mmoja , na nakwenda campus mwaka wa pili tena. kwa hiyo dogo kama umewahi soma bweni ni kama campus 100%. na kama umesoma day ni kama mabibo 100%. vyoo vya mabibo ni vizuri na visafi. ila campus vyoo ni vichafu vichafu vichafu. namalizia. SASA DOGO ITABIDI UNIBEBE, SISI NDO WAKONGWE WA UDSM. :israel: udsm ni chuo cha taifa na ndo mana tunapiga msuli wa kufariki mtu