lerato Member Joined Aug 11, 2012 Posts 41 Reaction score 4 Aug 27, 2012 #41 cory wana2mia kigezo gani kukupanga main campc au mabibo? na ukufika ciku hiyo hiyo unajulishwa rum yako au kunaprossc?
cory wana2mia kigezo gani kukupanga main campc au mabibo? na ukufika ciku hiyo hiyo unajulishwa rum yako au kunaprossc?
lerato Member Joined Aug 11, 2012 Posts 41 Reaction score 4 Aug 27, 2012 #42 cory wanatumia kigezo gani kukupanga mabibo au main campc? na je ukifika unajulishwa rum yako au kunaprocs za kuwait
cory wanatumia kigezo gani kukupanga mabibo au main campc? na je ukifika unajulishwa rum yako au kunaprocs za kuwait
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Aug 27, 2012 #43 lerato said: cory wanatumia kigezo gani kukupanga mabibo au main campc? na je ukifika unajulishwa rum yako au kunaprocs za kuwait Click to expand... Ni bahati nasibu kama sikosei,ukifika siku ya kufungua utajua umepangiwa wapi baada ya hapo utafanya mchakato wa kulipia na kukabidhiwa funguo na godoro...
lerato said: cory wanatumia kigezo gani kukupanga mabibo au main campc? na je ukifika unajulishwa rum yako au kunaprocs za kuwait Click to expand... Ni bahati nasibu kama sikosei,ukifika siku ya kufungua utajua umepangiwa wapi baada ya hapo utafanya mchakato wa kulipia na kukabidhiwa funguo na godoro...