Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mwez wa nane Simba iliingia mkataba mnono kweli kweli na m bet Sasa inakuaje aliyekua kocha wao zoran mak anavunja mkataba na kwenda ittahadalexsc.
Inamaana club tajiri Tanzania na level moja na Al Ahly au mamelod sundown wananyanganywa kocha na ittahadalexsc timu ndogo kuliko Simba yaani kocha anaondoka kimagumashi hivi na huku timu ikiwa na utajiri wa kutisha na mmiliki billionaire.