Mabilioni ya M- Bet yameshindwa kumzuia Zoran Maki

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Mwez wa nane Simba iliingia mkataba mnono kweli kweli na m bet Sasa inakuaje aliyekua kocha wao zoran mak anavunja mkataba na kwenda ittahadalexsc.

Inamaana club tajiri Tanzania na level moja na Al Ahly au mamelod sundown wananyanganywa kocha na ittahadalexsc timu ndogo kuliko Simba yaani kocha anaondoka kimagumashi hivi na huku timu ikiwa na utajiri wa kutisha na mmiliki billionaire.

Huyu kocha ni mhuni ashajua mtu wa race nyingine ni rahisi sana kupiga pesa hapa, kufanya madudu na kufukizwa na kulipwa fidia ya kuvunjwa mkataba ndio biashara yake
 
Huyu kocha ni mhuni ashajua mtu wa race nyingine ni rahisi sana kupiga pesa hapa, kufanya madudu na kufukizwa na kulipwa fidia ya kuvunjwa mkataba ndio biashara yake
duh! Ebu fatilia hili swala kwanza kiundani ndo Uchangie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…