Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

Yupo na Allah wetu sasa hivi wanapiga story tu kudadadeki! Natamani Netanyahu anikamatie Allah ana kesi ya kujibu
Allah unadhani Yesu dogo mpiga story na binadamu ni Yesu sababu si Mungu ni binadamu. Tatizo hamna akili mngekuwa na akili Yesu vipi awe Mungu wakati hana hata sifa ya Mungu.

Poleni Hezbullah aliwachia Israel kuingiza vifaru Lebanon kaviteketeza vyote Allah Akbariiiii
 
Hapo ndipo watakapomwelewa muyahudi anaposema misaada inayotolewa na umoja wa mataifa haiwafaidishi wa palestina halisi ambao ndio walengwa wenyewe,wanaofaidika na misaada hiyo ni magaidi.
 
Uzuri wa Yesu hamulazimishi mtu kwa upanga kumtambua kuwa yeye ni Mungu,unahiari ya kukubali kuwa Yesu ni Mungu au kukataa kuwa Yesu siyo Mungu na haimupunguzii chochote na haimuongezee chochote kwa kuwa yeye ni Mungu na atabakia kuwa Mungu kwa wanaomkubali na kwa wanaomkataa.
 
Kwa Yesu doesnt care. Jina lolote utakalo mwita hakutaka hata kulazimisha watu wawe wafuasi au wawe wakristo. Alisema kwa hiyari haya waliokuwa ndugu zake walimkataa na kumtukana. Hakuhangaika nao. Jambazi Muddy na Mzee wa totoz sasa ndo ilikuwa shida na group lake la majambazi, maharamia. Na wazinzi.
 
Wewe ulitaka aishi vipi?
Hayo yalikuwa maisha yake binafsi na familia yake, sioni jambo la maana sana kuyazungumzia na wala sio hekima kuyafichua na kuyaeleza sasa baada ya kuuwawa.
 
Mimi nikahisi hicho kibegi Cha Mrs Sinwar kimejaa chupi za bikini kumbe Birkin bag ni aina ya begi zinazouzwa gharama kubwa,
kingereza ukikiingia kichwa kichwa unaweza dharirika
🤣

Ulitaka kuziona bikini za mke wa Sinwa?
 
Aisee!
 
Ila wanawake akili zao, mpochi wa gharama kubwa namna hiyo kwaajil ya kutembea nao kwenye mahandaki😂😂😂.
Ma perfume ya gharama hayo yooote kwaajili ya kunukia ukiwa umejificha kwenye handaki!!. 🤣🤣
 
Hatar sana mkuu!! nikajua iDF walikidaka hicho kibegi wakakifumua na kukuta mazaga zaga ya Bimkubwa
Hahahaaa!

Kwa itikadi za mtu kama Sinwa sina hakika kama chupi za vikamba vinaruhusiwa.

Ila huwezi jua maana hawa watu wenye imani Kali wakiwa gizani huwa wana mambo sana.

Usikute Sinwa alikuwa anagonga kitimoto kama hana akili nzuri 😀.
 
Hatimae nimekua wa mwisho kucomment muda hamtupi mja wake oya nimekua wa mwisho leo
 
Wewe ulitaka aishi vipi?
Hayo yalikuwa maisha yake binafsi na familia yake, sioni jambo la maana sana kuyazungumzia na wala sio hekima kuyafichua na kuyaeleza sasa baada ya kuuwawa.
Selfish life ?? Walio nje wanapigwa kipondo halafu yeye na familia yake wapo handakini wana direct😁😁 huu ujuha upo kwa Arabs pekee! Na miafrica inayoshadadia vita ya Hamas wakati ndugu zao Congo na Sudan wanasuffer the same fate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…