FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Hiyo binamu wala si masihara. Ninayo mifano miwili live. Ndiyo maana mimi nikipata kadume, jina nakapa mwenyewe. Hahaha! Pole kwa yaliyokukuta, ushamstukia mzee nini? LOL!
Kwani Jina si mnadiscuss na kukubaliana??? bora muwe na makubaliano sioni kama kuna ubaya ukimbandikia mtoto jina la your ex...kumbu kumbu zingine sio mbaya eti!
shishi unaweza ukakumbuka na siku mkikutana unakumbuka zaidi hahaha
Sasa ukikumbuka zaidi kuna ubaya gani. Kujikumbushia muhimu bana! Ili mradi tu msifumaniwe! LOL!
shishi unaweza ukakumbuka na siku mkikutana unakumbuka zaidi hahaha
Kuna discussion nyingine zinasisimua damu,
hahahaha Binamu kama kawa yako na wewe ukipata mtoto mwingine akaitwa Anna sijui ester huo msala
Nadhani yanaweza yakawa yametokea au yanaweza yakatokea,duh lakini ni mbaya kiasi kwa upande wa yule atakaefanyiwa,unaweza ukamchukia mtoto ukigundua.kuepusha yote bora kuwapa majina watoto kutokana na nasaba
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah aha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!.............
First lady umenifurahisha sana na umenikumbusha mbali sana duuuuuu.Hii ni kweli nina tumifano 2 kuna dada 1 tumesoma naye kitambo Advance alikuwa BF wake walipendana sn wakaja kuachana saizi kaolewa na jamaa mwingine kabisa wamezaa mtoto mmoja wa kiume katika harakati za hapa na pale nikakutana nae mitaa fulani akiwa na mtoto nikampongeza kama kawaida yetu ya wabongo nikamuuliza jina la mtoto nikahamaki kusikia jina la ex-BF wake nikash2ka kidogo nikamuambia unamuenzi jamaa nini alicheka sana hakunijibu k2.
Pia hata mm niliua na GF wangu kitambo kuna jina nilikuwa nalipenda sana Mungu akinijalia nimpe mtt wangu nikawa namuambia uyo GF wangu kuwa mungu akitujalia tukaoana na kuzaa mtt wa kiume nitampa jina fulan.Then tukaja kuachana yy akabahatika kuolewa na jamaa mwingine na kuzaa mtt wa kiume akampa jina lile lile nililokuwa nalitaja mm tukiwa pamoja
Hii ipo kabisaaaa ni kweli mpwa
you know...its a dangerous ground to tread on!!!!!
Eh mie nilikuwa najua majina mara nyingi huwa ni ya wazazi wenu au ndugu zenu wa karibu mfano jina la mama/baba mkwe au mama/baba yako!! Duh hayo kwangu mapya ila kama ni kweli hata mie ningepata nafasi ya kuweka kumbukumbu yangu lol