FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #21
Eh mie nilikuwa najua majina mara nyingi huwa ni ya wazazi wenu au ndugu zenu wa karibu mfano jina la mama/baba mkwe au mama/baba yako!! Duh hayo kwangu mapya ila kama ni kweli hata mie ningepata nafasi ya kuweka kumbukumbu yangu lol
Haya mambo yapo jamani. Lakini nadhani ni kujitafutia matatizo yasiyokuwa na msingi, habari ya kumbukumbu isiwe kihivi jamani maana ikigundulika ni migogoro mitupu itafuatia.
Hehehe! MJ1 wewe! LOL! We si ulisemaga uliolewa ukiwa bikira? alikuwa Kumbukumbu gani tena? Au alikuwa nyamayao? Hahaha!
hahahahaha MJ1 yako kali watu wanapinga wewe unasema ungepata nafasi na wewe ungeweka ya kwako Y
Wapi nliposema niliolewa nayo? Umenifananisha binamu!
By the way I didnt know this opportunity is existing ah I can imagine likitu lilikubore you just call your son's name really LOUD and there you go smiling all the way!! Tusingekuwaga na maBP, SHELL wala maOIL COM
Wapi nliposema niliolewa nayo? Umenifananisha binamu!
By the way I didnt know this opportunity is existing ah I can imagine likitu lilikubore you just call your son's name really LOUD and there you go smiling all the way!! Tusingekuwaga na maBP, SHELL wala maOIL COM
Ahahahhha MJ1 unanichekesha ati unaimwita manao Xspin kwa sauti na kusmile!!!!!! nice one. like you have your own cage to retreat to li mtu likikuboa! hii kali hapa panaonekana mkiapatana na huyo ex ukiwa umekasirika hivyo utajikuta unajikumbushia!!!!
Hahaha! Shishi ungekutana na mimi afu tukaachana, first born wako wa kiume ungemwita XPIN kwa herufi kubwa! That much I can Swear! LOL!
Mi nadahani hii ni mbaya binamu binadamu tuna mambo mengi ktk kukumuka waweza kupitiliza ukajikuta wafanya kitu mbaya na mwanao (ni maoni tu) ubinadamu kaaaaziii.
Unajua FL mie hawa viumbe weshanichoshaga kabisa so if you cant fight with them, join them- ningekuwa naweza ningefanya kila wanachokifanya ili tu kusiwe na kuumia LOL
ndio! kumbukumbu inayotokana na matashi ya nafsi hasa ukiiendekeza inakuwa haina mpaka,unaweza kuanza kuona kafanana nae pia ........mambo yanendelea mpaka yanafika hapo...mwishowe tunasema haina mbaya ni kumbukumbu tu!Mi nadahani hii ni mbaya binamu binadamu tuna mambo mengi ktk kukumuka waweza kupitiliza ukajikuta wafanya kitu mbaya na mwanao (ni maoni tu) ubinadamu kaaaaziii.
ahahahah eti eh ..wangu ningekuwa namwita XSPIN xspin...yaani we acha tu!!! mmmmm kumbukumbu kama kumbukumbu!
Xpin ngoja aje hapa ZD utakimbia maneno yako haya oohhh kesiThanks for the info!
Wengine wanakuwa hawajakuboa. Ila inatokea tu kwa bahati mbaya mkaachana kila mmoja na hamsini zake. Na shughuli yake mziki wake ulikuwa unaukubali, kila ukiukumbuka mmeo unamwona kama kaka yako. Hutaitaji kumbukumbu yake? Na mkikutana hamna ile kitu inaitwa baby come back inaweza kutokea?
Hee! kwi kwi kwi kwi! FL1 leo umewaza nini? kweli umenifurahisha.Mie sina uhakika lakini sidhani kama kuna ukweli wowote.Sababu ukimpa jina la mtu uliyempenda na pengine alishawahi kukuumiza si utakuwa unakumbushia maumivu jamani?
Naona kama kuna kamsisitizo flani hivi. Umeshaolewa wewe Shishi?
Xpin ngoja aje hapa ZD utakimbia maneno yako haya oohhh kesi