FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #61
kam huamini siku nyingine uliza watu ni kwa nini ameitwa hilo jina lake utastaajabu.mi nikiulizwa inakuwa ni rahisi nimeitwa compressor coz baba alikuwa fundi mafriji na kila friji linalokuja yeye anasema ubovu wake ni compressor,issue zake dili zake ni compressor,ziwe nzima hata mbovu,then nilipokuja na mimi kaniita compressor.hii si haki! si haki pia kwa mtoto utayemzaa kumwita jina kutokana na matashi ya nafsi yako
dalili ya mvua ni mawingu,lakini usifanye makosa ukasahau kwamba wakati mwingine mawingu yanaondolewa na upepo na mvua hainyeshi hapo,labda kwengine,usiutafute wasiwasi,ngoja ukukute.FL huyu naona kama anajiandaa kunitenda vile.
dalili ya mvua ni mawingu,lakini usifanye makosa ukasahau kwamba wakati mwingine mawingu yanaondolewa na upepo na mvua hainyeshi hapo,labda kwengine,usiutafute wasiwasi,ngoja ukukute.
dalili ya mvua ni mawingu,lakini usifanye makosa ukasahau kwamba wakati mwingine mawingu yanaondolewa na upepo na mvua hainyeshi hapo,labda kwengine,usiutafute wasiwasi,ngoja ukukute.
teh teh teh teh! hongera sana mzee atakuwa anakupenda sana,yah! unamkumbusha matamu yaliyokwishapita,aliyoyashindwa kuyatunza akaacha yaende labda kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.oh! mama hana neno na wewe coz yeye ndo kashikilia mpini,kumbkumbu za namna hii hazishikiki.hahaha pole sir compressor ...inawezekana hata langu lilikuwa small house long ago jamani maajabu ya dunia
ooooooooooh hooooooooooo! sasa hapo ndo unautafuta wasiwasi,hawezi kufanya hivyo,mpaka atakapofanya ndo atakuwa anaweza kufanya.What are you insinuating here compressor?Xpin is preparing himself to build a small house?
FL1,
Naona wewe unataka kuvunja ndoa za watu. Utasababisha watu waende kuchunguza majina ya watoto wao. Mziki wake ni balaa kubwa sana .... mtu anaweza ku-denounce majina ya wanae akaamua kuwabatiza upya ikiwa ni pamoja na kwenda kufanya DNA ili a-prove paternity ... maana mtu hachelewi kupewa kumbukumbu kamili na siyo jina tu!
What are you insinuating here compressor?Xpin is preparing himself to build a small house?
eeh!Eti ni kweli imekuwa ikitokea katika mahusiano tuliyo nayo ..long ago ulikuwa na mpenzi ambaye ulimpenda na yeye alikupenda kwa dhati lakini katika mazingira yasiyoeleweka inatokea msiwe pamoja ..umeoa,umeolewa inatokea mnapata mtoto ..kama ni wa kike husband ataomba wife naomba umpe jina la ZionD ,Bht,MJ1 ,carmel or vyovyote mradi ni jina la yule kipenzi wake wa zamani pasipo wife kujua hiyo secret
na kama wa kiume wife nae ataomba ooh honey naomba tumwite ,Nguli,Fidel,Xpin ,Geoff or vyovyote vile mradi yule wake wa moyoni aendelee kuwepo katika kumbukumbu za maisha yake
ya kweli haya...
!!!????
haya tena!!!! yaleyale! usiutafute wasiwasi ngoja ukukute,kama unawasiwasi kuna maombi subiri yasisikilizweHahaha! Compressor kazi yake ni kusukuma refrigerant kwenda kwenye evaporator au? LOL! Nshasahau. Umri bana! Maombi yako hayatasikilizwa!
hahahah Keil
mie nikitoka hapa naenda kuuliza boss hivi hili jina la mwanawetu chanzo chake nini has ..nahitaji majibu fasta
By the way I didnt know this opportunity is existing ah I can imagine likitu likikubore you just call your son's name really LOUD and there you go smiling all the way!! Tusingekuwaga na maBP, SHELL wala maOIL COM
hahahah Keil
mie nikitoka hapa naenda kuuliza boss hivi hili jina la mwanawetu chanzo chake nini has ..nahitaji majibu fasta
mfano mimi jina langu nimepewa la babu yangu, nadhani si vibaya tukiwaita watoto wetu majina ya ndugu zao ila sio majina ya wale ndugu hamnazo,mtajuta wakubwa,
teh teh teh teh teh teheeh!
leo mamaa umepiga ngumi ya kushtukiza
lakini believe me,haya mambo yanategemea na makabila
KWA MFANO:wakinga ni watu wa ajabu sana......!wana kawaida ya kuwataja majina watoto zao kulingana na kitu/mtu anayevuma kipindi hicho!
mfanoi halisi kabisa(fidel atatusaidia...)kuna mtoto pale makete amezaliwa mwaka
2005 anaitwa JAKAYA MRISHO KIKWETE SANGA😀
hahahah Keil
mie nikitoka hapa naenda kuuliza boss hivi hili jina la mwanawetu chanzo chake nini has ..nahitaji majibu fasta
teh teh teh teh teh teh tehna majina mengine loh kama babu alikuwa mchawi ndo maana akapewa jina la kifaru natania lakini