Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mkuu, ebu pata supu ya mchicha kwa gharama ya mfuko wako.Jail miezi Sita, Fain M2 au vyote kwapamoja
Sawa Mkuu kwa heshima😃Nita ongeza Madini ChumaMkuu, ebu pata supu ya mchicha kwa gharama ya mfuko wako.
Sawa mkuu, shemeji yako huku ananiita babaSawa Mkuu kwa heshima😃Nita ongeza Madini Chuma
Tafsiri yake ni nini?Nimekutumia laki 2 ya kusuka hapa kwa account.
View attachment 3694713
Sasa mkuu, mdada wa miaka 35+ ni mdogo?Tafuta agemate wako hivi vitoto vitakuua kwa presha
Kwa nini ananiita baba?Baba naenda saloon
Ukiiangalia haraka haraka unaweza kuhisi vitu vingine
Na wewe umeanza kuniita baba! hii ina maana gani?Baba uko wapi?
Kwa nini ananiita hivyo?Kuitikia hiyo "Baba" kwa mtoto ambae huna uwezo wa kumzaa kiumri unaona ipo sawa?
Ina maana nisipotoa salio, hatoniita tena baba?Ni pesa na matunzo unayompa. Kwa mama atakuita mwanangu