Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Huwa ananiita babaa huku amenikumbatia kwa nguvu anainua miguu juu then anapiga kelele.

Baada ya hapo ananiachia huku na kiss kiss.
 
Umeitwa 'baba' kiwepesi wepesi sana tena kwa mahali pasipostahili.

Wakati ukipewa 'ahsante'au 'pole' ndiyo huatahili kuambatishwa na hilo neno 'baba' kwa pongezi za dhati ukiwa tayari umeshuka kutimiza 'wajibu' wako wa msingi.

'Baba' zingine nje ya hapo ni usanii wa kawaida.
 
Inabidi niichukue hii, 'Baba' zingine nje ya hapo ni usanii wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…