Ogopa sana kuwa mjinga wakati una akili zako timamu,Na ogopa sana kuwa mtumwa wakati uwezo wa kujitegemea unao.Ni wivu tu ambao umejaa na husda ambazo zinawatafuna Nzala ambao hawana wanachokijua.Topic kubwa wiki mbili zilizopita Nzala wengi walisema Clatous Chama ni mchezaji ambaye hakuna wakumfananisha na mchezaji yoyote wa Yanga na Chama hatoweza kwenda Yanga.
Siku zote Chama anasajiliwa Yanga ila anacheza Simba,Admin wao akaposti clip ya Chama akisawazisha Goli pale Ccm kirumba dhidi ya Azam FC na akaandika Dakika za jioni mwamba kama mwamba kashafanya yake 100%mashabiki wao hakuna ambaye alicomment kusema Chama ni Mzee Zaidi ya kuwapa vijembe Yanga wakisema wanajidanganya tu hawana uwezo wa kumsajili Chama.
Mwekezaji wao pia akashare video ya Chama akisawazisha goli dhidi ya Azam FC mashabiki wao walimwomba Mwekezaji wao afanye Kila ambalo anaweza Chama ambakishe.Hakuna Nzala yoyote ambaye alihoji umri wake Chama .Sasa Leo Topic Chama ni Mzee kisa amejiunga na Yanga aibu sana hii ngoja niwape Elimu kidogo Nzala wote humu Facebook na watu wote wenye husda na Chama kisa kasaini Yanga.
πππ¨ππ¨π πππ
Ukirudi miaka minne tu hapa kipindi Simba wanachukua ubingwa back to back 80%ya wachezaji wao walikuwa 30+Wachezaji kama Pascal Wawa,Erasto Nyoni,Kagere,Mugalu,Okwi,Onyango nk na wazee hawa ndio waliwapa jeuri ya kushinda mataji na kufanya vyema kimataifa hakuna Nzala ambaye alihoji umri wa wachezaji wa Simba Zaidi ya Kuandika makala ndefu kuwasifia.Ukienda pale Real Madrid Kuna wazee ambao Bado hata Rais wa Real Madrid Perez Bado anatamani kufanya nao kazi wazee kama Dani carvajal,,Modrick,,Toni....
Ukija hapa Tanzania kikosi cha Yanga ambacho kinasemwa kina wazee kama wakina Chama,,Aucho,,Mkude,,Diarra,,nk ndio kikosi ambacho kinaogopwa na kusemwa sana midomoni mwa watu.Kila timu duniani ina malengo yake na utamaduni wake ndio maana ukienda pale Italy Turin Juventus wao wachezaji wao ni wazee tu na Bado Wanafanya vyema.
Project ya Yanga Kwa sasa ni ya muda mfupi ambayo wanataka kujenga ufalme wao ndani ya nchi na nje ya nchi ndio maana wanasajili wachezaji wakubwa wenye majina, Project yao 60%imewalipa wameshinda mataji yote ya ndani Kwa misimu mitatu mfululizo na wamecheza fainali CAF confederation cup na robo fainali CAF Champions.Uwekezaji Kwa wachezaji wazawa vijana Bado unaendelea na ndio maana wamewapa mikataba ya muda mrefu wachezaji wao.
Mnavyotaka kuisema Yanga vibaya Kwanza kuweni na Facts za kutosha ambazo mnavyosifia timu zingine muwe na data za kutosha.Yanga wachezaji wao wakimataifa 70%wapo kwenye timu zao za taifa na wanacheza.Djugui Diarra, Clatous Chhotta Chama, PacΓΆme Zouzouza, Khalid Aucho,, Stephanie Azizi KI Kennedy Musonda,,Gift Fredy vipi hao wengine mshafanya research kwenye timu zao wanacheza.?Yanga itabaki kuwa timu kubwa nchini ambayo vilabu vyote vinapaswa kuendelea kuiga na kujifunza.
NB;Nzala kumbukeni hakuna kipya hapa duniani nawakumbusha msimu wa mwaka 2012 hadi 2014 Watani waliamua kuwapandisha vijana wao kutoka timu B na kusajili wachezaji wadogo ila hakuna walichofanikiwa Zaidi ya kufukuzana tu.