Mabingwa Wa Soka Tanzania Bara Young Africans Waomba Ridhaa ya kuutumia uwanja wa Aman Zanzibar

Mabingwa Wa Soka Tanzania Bara Young Africans Waomba Ridhaa ya kuutumia uwanja wa Aman Zanzibar

Malcolm X5

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
1,639
Reaction score
2,752
14457421_1188333037912621_8532127707374384479_n.jpg

Wamewasilisha Barua Ya Maombi Ofisini Kwa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Utalii Na Michezo
Wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar, Kuomba Ridhaa Ya Kuutumia Uwanja Wa Aman Uliopo Mjini Unguja.
Nadhani hii ni kukomoana na taasisi za michezo,yanga kwa uwanja wa aman,na uwezo wa kujaza watu vile,mapato na kila kitu,nape abaki na kiwanja chake..
 
Ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga tu. Hapo iltakiwa ifanywe tathmini ya uharibifu watu walipishwe maisha yaendelee ili tuendelee kupata burudani,. Hivi timu zinazotoka Mwanza zikitaka kucheza na yanga si zitakuwa zinaingia gharama mara mbili ya awali.
 
kweli mkuu,mawaziri mizigo wanajionnyesha dhahiri...
 
A very strategic good move kwa yanga ila kwa timu zingne kuifuata yanga ni disaster!
 
Ilo ombi lao sidhani kama linaweza kukubaliwa make Zanzibar nao wana ligi yao,pili kwenda kwao kule kutaathiri timu nyingine labda kama yanga wataziongezea timu nyingine gharama yakutoka dar kwenda Zanzibar nakurudi.
 
Ivi mfano tim kama Africa lion ikiomba uwanja wa taifa kama kiwanja chake cha nyumban cku ikifika kacheza na yanga au simba itazuiwa?
 
Hakuna wanacho kimbia maana bado wapo kwenye uwanja uleule wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Inabidi wawe wapole tu...!!
 
Ivi mfano tim kama Africa lion ikiomba uwanja wa taifa kama kiwanja chake cha nyumban cku ikifika kacheza na yanga au simba itazuiwa?
mkuu unachotakikana kujua ni kwamba simba na yanga hazitakiwi kucheza uwanja wa taifa

whether simba yacheza sijui na nani
or
yanga na mazembe yaani marufuku
 
Waende Uwanja wa Azam?

Ni Aibu kuu Timu Kongwe haina Uwanja hadi Leo... ushirikina ukizidi ndio matokeo yake hayo no Maendeleo kazi kuomba omba tu hadi lini? Gulamali alishauri vizuri mkamkatalia Mengi pia mkamng'ang'ania Ponjoro kawacha leo hii mnalia mnalala na njaa ndio chemsha bongo hiyo kabla hamjashangaa mnaduwaa
 
Wacheza Netball bwana Sheria za ligi wanazijua Na mipaka ya viwanja wanajua ndio maana wanacheza netball
 
Naomba updates hadi sasa , hawa kurwa na doto wameamua wapi kama viwanja vyao vya nyumbani ?
 
Sasa ikitokea Timu Nyengine Kuomba Kuchezea Uwanja Wa Gombani Pemba itakuaje???
Mkodisho bhana...
 
Back
Top Bottom