Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
kweli mkuu,mawaziri mizigo wanajionnyesha dhahiri...Ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga tu. Hapo iltakiwa ifanywe tathmini ya uharibifu watu walipishwe maisha yaendelee ili tuendelee kupata burudani,. Hivi timu zinazotoka Mwanza zikitaka kucheza na yanga si zitakuwa zinaingia gharama mara mbili ya awali.
mkuu unachotakikana kujua ni kwamba simba na yanga hazitakiwi kucheza uwanja wa taifaIvi mfano tim kama Africa lion ikiomba uwanja wa taifa kama kiwanja chake cha nyumban cku ikifika kacheza na yanga au simba itazuiwa?