CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Jul 23, 2011 #1 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Waziri Mkuu kivuli, Mhe. F.A. Mbowe akiwa ameshikilia "JAGI" la Kagame Spika wa Bunge, Mhe. A. Makinda akiwakubali vijana wa kazi wa Jangwani Waziri Mkuu, Mhe. M.K.P. Pinda akiamurisha askari wa kutoa heshima ili waanze kuwapigia Mizinga ya Ushujaa Mabingwa Yanga Mabingwa ktk Pozi Mjengoni Dodoma Kweli kabisa, bado Ngao ya Hisani, Asamoah kama kawa, The only One Kaseja hachomoi vichwa Sasa wewe Ngassa, kwani Fagason kasema anakutaka???
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Waziri Mkuu kivuli, Mhe. F.A. Mbowe akiwa ameshikilia "JAGI" la Kagame Spika wa Bunge, Mhe. A. Makinda akiwakubali vijana wa kazi wa Jangwani Waziri Mkuu, Mhe. M.K.P. Pinda akiamurisha askari wa kutoa heshima ili waanze kuwapigia Mizinga ya Ushujaa Mabingwa Yanga Mabingwa ktk Pozi Mjengoni Dodoma Kweli kabisa, bado Ngao ya Hisani, Asamoah kama kawa, The only One Kaseja hachomoi vichwa Sasa wewe Ngassa, kwani Fagason kasema anakutaka???
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 23, 2011 #2 Wako fresh,mabingwa hao.Siyowale wa mara 7 badala ya 6 kama alivyosema Mh Lusinde
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 23, 2011 #3 Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini.
Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini.
CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Jul 23, 2011 Thread starter #4 masuke said: Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini. Click to expand... Mkuu Hizi picha nilipiga kutoka gazetini, ndio maana hazijatoka fresh
masuke said: Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini. Click to expand... Mkuu Hizi picha nilipiga kutoka gazetini, ndio maana hazijatoka fresh
CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Jul 23, 2011 Thread starter #5 Ulimakafu said: Wako fresh,mabingwa hao.Siyowale wa mara 7 badala ya 6 kama alivyosema Mh Lusinde Click to expand... Yaani tayari wanaitwa ni mara 7 badala ya 6?
Ulimakafu said: Wako fresh,mabingwa hao.Siyowale wa mara 7 badala ya 6 kama alivyosema Mh Lusinde Click to expand... Yaani tayari wanaitwa ni mara 7 badala ya 6?