Mabingwa watetezi EPL, Leicester City wamtimua manager wao

Bila shaka ulikuwa ujafatilia vzuri KANTE alikuwa anataka kuongezwa mshahara na ilikuwa haki yke kwa huduma aliyokuwa anatoa pale
 
Mbona wanafungika sana tu! Ushindi wa 2:1 ni ushindi wa kawaida sana ambao wanaweza kugeuza matokeo kirahisi tu wakirudi lecister
Hayo maneno yangu, shida ya wabongo wengi wanakariri, hawajui mpira
 
Rudi utupe mrejesho, unakariri, mnajiaminisha timu za spain ni bora kuliko nyengine? Anapapatua asishuke daraja england kamkalisha uyo unaemuona ni mbabe
Mbona wanafungika sana tu! Ushindi wa 2:1 ni ushindi wa kawaida sana ambao wanaweza kugeuza matokeo kirahisi tu wakirudi lecister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…