Mabint na masharobaro!!!!

Mabint na masharobaro!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Inaonekana mabint na hata wamama watu wazima siku hizi wanapenda vijana masharobaro ndo maana vijana wengi sikuhizi wanajipodoa na kuoga mara 6 kwa siku!!Je wewe wako nae ni sharobaro?
 
Sharo baro nurtured OR sharo baro wa kujivunza????
 
Wangu sio sharo hata kiswahili chake kina lafidhi ya kilugha napenda sana anapofoka
 
Hakuna sharobaro wa nature!


Wapo dear... Neno sharobaro laweza onekana ni jipya but maana yake ni ya muda mrefu... Kuna sharobaro alojifunzia ukubwani na kuiga mpaka akawa to perfection na kuna Sharobaro nurtured kwamba naturally kazaliwa na traits za usharobaro na apart from hilo yeye sharo baro, baba sharobaro na babu alikua hivyo hivyo... kwa mantik hio naamini unakubaliana nami kua huo kawa nurtured....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Okay Asha but,what do say about them?U like them or not?
 
me napenda mwanaume yuko mature na real, sababu naamini sharobaro ni mtu feki na aliyepungukiwa na kitu fulani akilini, mwanaume akishaanza kujishaua mbele yangu nina uhakika ataua mood yangu yote, kwa kifupi sipendi wanaume masharo uharo.
 
Hata mimi sijui hili neno lina maana gani hasa - ngoja tusubiri labda wataalam wa lugha watatusaidia.

Hao ni wale wanaojipodoa kama wanawake(lakini sio mashoga)wana badili mwendo,namna ya kuongea,hubadili nguo hata mara 6 kwa siku.Hupenda kulamba lamba midomo mara nyingi wanapoongea!
 
Hata mimi sijui hili neno lina maana gani hasa - ngoja tusubiri labda wataalam wa lugha watatusaidia.

Hao ni wale wanaojipodoa kama wanawake(lakini sio mashoga)wana badili mwendo,namna ya kuongea,hubadili nguo hata mara 6 kwa siku.Hupenda kulamba lamba midomo mara nyingi wanapoongea!
 
Okay Asha but,what do say about them?U like them or not?


Ubaya masharobaro limbukeni wamekua wengi na wameharibu kabisa sifa za msingi za sharobaro mana the majority malimbukeni huwezi penda hata wakusogelee... But the right sharobaro yuko poa saana ingawa personally hawanifai Eiyer....
 
hivi sharobaro ni nani?

Nimesoma hii comment iliachwa na mdau kwenye Global Publishers: "Maana halisi ya sharobaro katika kamusi ya kiswahili ni ****** YA NYANI. Sasa hiyo maana uliyotoa kuwa maana ya sharabaro ni mwanaume msafi anaye jipenda sijuhi umeipata wapi. na maana halisi ya USHAROBARO kwa vijana wa sasa naona mnaupresent kwa jinsi mnavyo vaa suruari zenu (wenyewe mnaita mlegezo au kata K) sasa kwa jinsi mnavyo vaa kama mngekuwa hamvai nguo nyingine kwa ndani kwa kweli Usharobaro kamili ungetimilika kwani ni dhahiri kabisa makalio yenu yangekuwa wazi. Kwaiyo ... rejea kwenye kamusi ya kiswahili utapata maana halisi ya usharobaro."
 
Back
Top Bottom