The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Unajua Husninyo anakuja kwangu lakini anataka apige chenga ajifanye Kaizer this Kaizer that kumbe ishu yote anakuja kuishia kwangu si unajua tena ila sema anajifanya sitaki natakaIn that sense YES but kama nilivyokwambia vijana wameharibu maana nzima... Yani TF homework yako ni kumuelewesha Husninyo mpaka aelewe umesema my Sweetie ni sharobaro in what sense or you are in deep trouble...
Husninyo Mpenzi NO COMMENT... Nimemuachia hio kazi TF na ahakikishe kamaliza!
Hahahaha BAK, Kaizer anatumia vipodozi vya MAC tu.Haya Mkuu!...I hope hutampa assignment ya kukutafutia vipodozi! hahahahahah lol! (I am just joking Kaizer) 🙂
Haya Mkuu!...I hope hutampa assignment ya kukutafutia vipodozi! hahahahahah lol! (I am just joking Kaizer) 🙂
Unajua Husninyo anakuja kwangu lakini anataka apige chenga ajifanye Kaizer this Kaizer that kumbe ishu yote anakuja kuishia kwangu si unajua tena ila sema anajifanya sitaki nataka
YouTube - ‪Jamie Foxx - Fall For Your Type ft. Drake‬‏
Asante mama nafanyia kazi ombi lakohahahahaha! TF mkimuachia namtangazia TF ndoa kabisaaaa.
Wapo dear... Neno sharobaro laweza onekana ni jipya but maana yake ni ya muda mrefu... Kuna sharobaro alojifunzia ukubwani na kuiga mpaka akawa to perfection na kuna Sharobaro nurtured kwamba naturally kazaliwa na traits za usharobaro na apart from hilo yeye sharo baro, baba sharobaro na babu alikua hivyo hivyo... kwa mantik hio naamini unakubaliana nami kua huo kawa nurtured....
Nakuja usipate shida nimeumbwa kwa ajili yako.hahahahaha! Umejuaje? Hapa nilipo naandika huku nang'ata vidole. Lol!
YouTube - ‪Bongo Flava By DULLY SYKES‬‏Babaake Dully sykes Ni sharo kishenzi watoto itakuaje.
Asante mama nafanyia kazi ombi lako
Nakuja usipate shida nimeumbwa kwa ajili yako.
Unajua Husninyo anakuja kwangu lakini anataka apige chenga ajifanye Kaizer this Kaizer that kumbe ishu yote anakuja kuishia kwangu si unajua tena ila sema anajifanya sitaki nataka
YouTube - ‪Jamie Foxx - Fall For Your Type ft. Drake‬‏
hahahahaha! TF mkimuachia kazi ndio ataharibu kabisaaaa.
Wapo dear... Neno sharobaro laweza onekana ni jipya but maana yake ni ya muda mrefu... Kuna sharobaro alojifunzia ukubwani na kuiga mpaka akawa to perfection na kuna Sharobaro nurtured kwamba naturally kazaliwa na traits za usharobaro na apart from hilo yeye sharo baro, baba sharobaro na babu alikua hivyo hivyo... kwa mantik hio naamini unakubaliana nami kua huo kawa nurtured....
, tena ngoja nipishe kabisaaaa....
Khaaa!!! Kwa vile Mod anakutana naenakusemea kwa mod umeedit post yangu.
Wewe ni wangu sina taimu na vicheche, wewe ni wangu kwa matozi usishobokekila kitu chako ni changu.
:msela::msela:I trust you... Just do the needful, tena ngoja nipishe kabisaaaa....
Maneno Kuntu hayaNaamini atamaliza maana anajua what is at stake!! Ila naomba ulegeze kidogo kumuelewa dear...
Kwani nimekuwa Acapocalypto:biggrin1:usiondoke bwana. Mi Tf ananiogopesha.
Wewe ni wangu sina taimu na vicheche, wewe ni wangu kwa matozi usishoboke
:msela::msela:
Maneno Kuntu haya
Kwani nimekuwa Acapocalypto:biggrin1: