Mtoto nae anapotelekezwa ni kwa kosa la nani?!
Hiyo mimba inategeshwa vipi mpaka mwanaume ajione hakua responsible kwenye kuitunga?!
Mwisho kabisa...hivi uanaume ni kutembea na yeyote anaekuchekea?!
Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..
..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)
Lakini kwa nini tunachukulia kuwa jukumu la kuzuia mimba isiyotakikana ni la mwanamke pekee?! ni kweli kuwa Mwanaume hana role katika kuhakikisha kuwa haleti kiumbe ambacho hajakipangia humu duniani?
Mwanaume akivaa Condom anavuliwa au inakuaje?!kuna mwanamke anayemfuata mwanamume kwa lengo moja tu. kumtegea mimba... hata mwanamume akukuruke vipi..anashangaa badae salio limesoma... Nawe wajua hilo.. Do not Pretend
Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..
..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)
lol why should I pretend?! Sijabisha ila tu hapa ni kama unamlaumu mwanamke peke yake ilhali it takes two to tango!!kuna mwanamke anayemfuata mwanamume kwa lengo moja tu. kumtegea mimba... hata mwanamume akukuruke vipi..anashangaa badae salio limesoma... Nawe wajua hilo.. Do not Pretend
sidhani kama una uhakika na hilo ulisemalo Lizzy.. na kama ndivyo..basi bado mdogo.. sorry
lol why should I pretend?! Sijabisha ila tu hapa ni kama unamlaumu mwanamke peke yake ilhali it takes two to tango!!
Ni kama unasema women are more smart compared to Men!
Sasa data ukiwa mkali utapata msaada kweli?! Jibu swali kwa hoja si hacra au kususa bana la sivyo JF itakuwa adui yako soon!!
Kwa nn unafikiri wanaume wanashindwa kudhibiti mimba?
Mtoto nae anapotelekezwa ni kwa kosa la nani?!
Hiyo mimba inategeshwa vipi mpaka mwanaume ajione hakua responsible kwenye kuitunga?!
Mwisho kabisa...hivi uanaume ni kutembea na yeyote anaekuchekea?!